Pearl
JF-Expert Member
- Nov 25, 2009
- 3,036
- 309
Jamani wana jamvi naomba kuuliza umekuwa kwenye mahusiano maybe kwa mwezi-1-5-2yrs-3,4,5...........,ulikuwa na mtu mliependana sana na kuamini mno,mlikuwa na ndoto nyingi(maybe kuna mlizozitimiza,au nyengine hazikutimizwa)ikafika kipindi mahusiano/mapenzi yenu yakashindwa kuendelea(mmeshindwana kitabia,mlifumaniana,mwingine alikuwa si mwaminifu etc)uhusiano wenu kwa njia moja au nyengine ukafa/ukavunjika,swali ni je?
-Pia nadhani kwa kuwa na mawasiliano nae itaharibu/itavunja uaminifu wangu na mpenzi wangu wa sasa.
-Lakini pia kwa kuwa na mawasiliano na my Ex itani remind mambo mazuri,vitu tulivyofanya,sehem tulizoenda wakati wa penzi letu na hivyo kunifanya niwe kwenye Dilemma hasa kama uhusiano huu nilionao sasa hauendi vizuri.
My pipo wat do u do?do u keep the communication alive with ur Ex/should we?mawazo yenu yanahitajika sana.:A S 103::A S 103::A S 103:
- Kuna haja ya kuwa na mawasiliano like kupigiana cm,kutoka outings,kushare misiba /harusi?