Should Tanzanians living abroad be allowed to vote?

Haya wako wapi wale wakuda waliokuwa wakisema tunaokaa nje hatutakiwi kuongea kuhusu hali ya siasa nchini kwa sababu hatushiriki kupiga kura wala hatulipi kodi?

Vimbonelehi wakubwa (=wadogo sana).
 
Wengine wana mawazo mafupi sana kuhusiana na Watanzania wanaoishi nje. Wakimbizi hawa, wameikimbia nchi wanataka kufaidi huko waliko na Tanzania pia. Wakati katiba ya Tanzania inasema kwamba "Mtanzania yuko huru kwenda mahali popote duniani ili mradi havunji sheria za nchi."

Bora tu waruhusu uraia wa nchi mbili kabla ya uchaguzi wa 2010. Wenzetu Waganda, Wakenya, Wanyarwanda na Warundi wameshafanya hivyo na hakuna ongezeko la ujambazi wala uharamia, lakini kwetu Viongozi wenye ntimanyongo bado hawalitaki kabisa eti wanasema "halina priority kwa sasa" labda litakuwa ni priority baada ya miaka 100 ijayo.
 
Haya wako wapi wale wakuda waliokuwa wakisema tunaokaa nje hatutakiwi kuongea kuhusu hali ya siasa nchini kwa sababu hatushiriki kupiga kura wala hatulipi kodi?

Vimbonelehi wakubwa (=wadogo sana).
hawajui mambo ya remittance
 
he who knows this country will laugh it off.

kama kuna ugumu kuandikisha wafungwa hapahapa tanzania kuandikisha watanzania waishio nje ambao hata idadi yao haijulikani ni serious joke.

Uchaguzi ukikaribia kila kitu husemwa tanzania, ili kufurahisha wapiga kura, rafiki zao na ndugu zao.

Mgombea binafsi mahakama imesema ok, serikali kwenye budget zote since 2007 insema inakubali hilo lakini wanapinga uamuzi wa mahakama kuhusu wagombea binafsi.

My friends in tanzania if you are not confused, then your head is not working properly
 
hakuna kitu walichosema kinaweza kuwa kweli ni story za mabwege tuu!
 
he who knows this country will laugh it off.

kama kuna ugumu kuandikisha wafungwa hapahapa tanzania kuandikisha watanzania waishio nje ambao hata idadi yao haijulikani ni serious joke.

Uchaguzi ukikaribia kila kitu husemwa tanzania, ili kufurahisha wapiga kura, rafiki zao na ndugu zao.

Mgombea binafsi mahakama imesema ok, serikali kwenye budget zote since 2007 insema inakubali hilo lakini wanapinga uamuzi wa mahakama kuhusu wagombea binafsi.

My friends in tanzania if you are not confused, then your head is not working properly

Duh...mkuu haya maoni yako yamegonga penyewe kabisa...kula 5.

Sasa wengi watapata picha kwa nini CCM iko mbioni kufungua matawi nje ya Tanzania.
 
Nakuunga mkono Bubu ataka Kusema Nafikiri hilo suala la Uraia wa Nchi 2 Seriakali Ya CCM hailifikiri Mpaka hapo itakapo kuja Serikali Mpya inayofuata haki za Binadamu Sio mambo ya Ufisadi na Ubinafsi na mambo ya kula Rushwa Seriakali Ya CCM imejaa viongozi wanaopenda Ubinafsi na Ufisadi ndio maana nchi yetu haina maendeleo umeme Maji kwa mgawo mambo hayo yataisha lini? Tumechoka kunyanyaswa CCM imeshazeeka itabidi mwaka 2010 iachie ngazi kije Chama kingine tuone Matunda ya Uhuru Wetu Tumechoka na ufisadi jamani
 
CCM inabidi iache hadithi za paukwa pakawa walikuwa wapi siku zote au ndio wakati wa kujinadi umewadia. Inabidi kuleta uongozi mpya usiokuwa na harufu ya CCM ili kuokoa nchi hii ya "Wadanganyika"
 
wiki mbili zilizopita Jaji lewis makame alihojiwa na BBC (na Abdala majura) akasema hawawezi kuruhusu watanzania wanaokaa nje kupiga kura ili hali hawajapewa mafunzo ya upigaji kura. Sasa sijui hii nguvu ameitoa wapi ya kusema wanaandaa utaratibu?? CCM ipo siku tu mtaanguka pamoja na hilazote hizo!!!
 
sina hakika kama hii ni hatua nzuri, japo wengi tungependa ndugu zetu wa nje wapige kura. Lakini Ninachokiona ni kwamba hii itakuwa loop hole nzuri sana ya kuiba kura. Unaweza kushangaa ukaambia kuwa kura milioni 2 kutoka Uingereza zimemuunga mkono Bw Mbowe wakati ni watanzania 2000 tu ndio wanaishi uingereza. Unaweza pia kusikia kuwa wafungwa na mahabusu 1000000 wamempigia kura Bw Chee wakti idadi yao hata laki 5 haifiki. I can see that Lewis Makame anaanza kutuchezea shere kidogokidogo.
 
wiki mbili zilizopita Jaji lewis makame alihojiwa na BBC (na Abdala majura) akasema hawawezi kuruhusu watanzania wanaokaa nje kupiga kura ili hali hawajapewa mafunzo ya upigaji kura. Sasa sijui hii nguvu ameitoa wapi ya kusema wanaandaa utaratibu?? CCM ipo siku tu mtaanguka pamoja na hilazote hizo!!!

Mkuu,

Hii haijakaa sawa na labda jaji Makame alipitiwa kidogo katika kujibu swali.

Watanzania tuishio nje baadhi yetu tunapiga kura kutokana na Tanzania kuwemo katika Jumuia ya Madola.

Kwa mfano mimi binafsi nimekuwa nikipiga kura mara nyingi tu na wala sikuhitaji mafunzo yoyote, kwahio sidhani kama kunahitajika mafunzo.

Du! mbona ni kazi sana.
 
he who knows this country will laugh it off.

kama kuna ugumu kuandikisha wafungwa hapahapa tanzania kuandikisha watanzania waishio nje ambao hata idadi yao haijulikani ni serious joke.

Uchaguzi ukikaribia kila kitu husemwa tanzania, ili kufurahisha wapiga kura, rafiki zao na ndugu zao.

Mgombea binafsi mahakama imesema ok, serikali kwenye budget zote since 2007 insema inakubali hilo lakini wanapinga uamuzi wa mahakama kuhusu wagombea binafsi.

My friends in tanzania if you are not confused, then your head is not working properly

mh, u nailed it! Hii ni avenue mpya ya wizi wa kura. CCM wanavumbua njia mpya za kuiba kura kila wakati. Jamani tuweni one step ahead of them. Tanzania haina uwazi wa kufikia kiwango cha kuruhusu wafungwa na watu waishio nje kupiga kura. BADO SANA. Huu ni wizi jamani!!
 
Back
Top Bottom