Should it be legal?

Uda

JF-Expert Member
Nov 27, 2010
811
624
"ABORTION"
tunapoelekea mjadala wa katiba mpya;
Naomba kupata maoni yenu wanajf,tukizingatia ukweli kwamba abortion ni swala tata kwenye nchi nyingi na kwa upande mwingine abortion za uchochoroni(criminal abortion) huchangia kwa kiasi kikubwa cha maafa ya kinamama(one of the major cause of maternal mortality).
Nawasilisha...
 
kwa sasa ni legal under some circumstances(medical indication)
i think iendelee kuwa hivyo.kwa upande wa kupunguza vifo vya kinamama,tujitahidi kwenye elimu ya afya,pia tusisitize kuhusu kinga dhidi ya mimba zisizopangwa.
 
Mh?

Tofauti na mwanajeshi anayepokea tu amri, daktari anao uwezo wa kukataa, si ndio?

Kweli kabisa ila wenyewe wanashawishika na pesa!Na kwa njaa tuliyo nayo ni ngumu kwa wao kukataa ikiwa mama mwenyewe kaamua!Asipofanya yeye atafanya mwenyewe!
 
"ABORTION" tunapoelekea mjadala wa katiba mpya; Naomba kupata maoni yenu wanajf,tukizingatia ukweli kwamba abortion ni swala tata kwenye nchi nyingi na kwa upande mwingine abortion za uchochoroni(criminal abortion) huchangia kwa kiasi kikubwa cha maafa ya kinamama(one of the major cause of maternal mortality). Nawasilisha...
Mwanzoni mlidai kuwa woman circumsition is the cause of women motality. Endeleeni na ufisadi wenu. Tunajua kuwa mmeshavuta kutoka kwa wazungu.
 
kwa hiyo iruhusiwe?

Binafsi si-surport ndio maana niliuliza wauaji(watoaji mimba kwavile wanajisikia kufanya hivyo) waepushiwe kifo??Since mtoa mada anataka iruhusiwe ili wasitoe kienyeji kitu ambacho kinaweza kuwasabishia watolewaji kifo!
 
dhana ya mtoa mada ni kuwa ikiruhusiwa itakua salama.
 
dhana ya mtoa mada ni kuwa ikiruhusiwa itakua salama.

Na swali langu linabaki palepale...kwanini tujali usalama wa mtu anaetaka kuua kama halazimiki kufanya hivyo kiafya!Kama mtu hataki mimba awe mwangalifu
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom