Should I be concerned??

Majina yako ni yale common yote mawili kwa mfano Anna Michael, Amina Rashid etc? Kama ni hayo inawezekana ni coincidence au kama kama yale majina ambayo sio common sana plz chonde chonde nenda haraka ukawaulize vizuri, pengine kuna mchakachuaji amekuachia kimeo. Vizuri uende ujue moja.
 
sio ajabu
wanauza majina ya watu na kuyasomea
kuna mwaka aliwagonganisha wawili
The real person na fake
na yule fake alikuwa ahead of the game kwa kila kitu
kuanzia kuchukua boom, kuchukua chumba na registration zote
miaka hiyo boom la kupanga foleni

baada ya wiki moja tule binti halisi ndo aliweza mshika mwizi wa jina lake
hadi vyeti vya O level na A level vilikuwa vile vile

tena huyo dada alisoma korogwe girls
akapelekwa pale auxillary police
simpo test, taja walimu watatu kila mmoja
walimuweka pale kwa muda sasa sijui iliishia vipi
Dah ndo maana namwambia itakuwa bora akienda kuongea nao wamuambie alisoma pale lini na wamuonyeshe uthibitisho halisi.
 
Back
Top Bottom