Shosti zima simu: Utasema mtandao wa TIGO ulikuwa unasumbua! (wanaume someni hapa)

ndyoko

JF-Expert Member
Nov 2, 2010
4,971
1,649
Haya maneno nimeyasikia kwa masikio yangu mwenyewe toka kwa dada mmoja aliyekuwa akienda kwa buzi lake ili hali jamaa yake akiwa anamfuatilia kwa simu. Rafiki yake alipoona shostito wake hana mbinu za kumuepuka huyo mpenzi wake 'halali', akamshauri aizime simu yake ya TIGO ili awe free na huko alikokuwa akiupeleka 'mzigo' kwa njemba mwingine. Atakufanya ukose kuonana na John wakati ulimuahidi siku nyingi leo tungeenda kwake. Aaah! Huyu Fred naye yaani anavyokung'ang'ania, halafu ndoa yenyewe kila siku anakupiga kalenda. Nenda tu kwa John mwaya, pengine anaweza kuwa wa maana kuliko Fred. Na kweli rafiki yule akazima simu huku akikenua mdomo. Mie nikabaki hoi, huku nikiwa nimepata funzo, kwamba huu ubabaishaji wa mtandao wa simu wa TIGO kumbe unachangia pia watu 'kuibiwa mali' zao kiulainiiii. Jamani wanaume, sio kila unapomkosa mpenzio kwa mtandao wa TIGO ukadhani eti ni kwa sababu ya ubabaishaji wa huo mtandao. Inawezekana wakati mwingine mtandao uko ok, ila simu imezimwa makusudi kuepuka 'usumbufu' wako. Unaibiwaaaaaa kwa kisingizio cha TIGO, ebbo!
 
Basi, wewe usiwaombee watu
hawa, wala usiwapazie sauti
yako, wala kuwaombea dua,
wala usinisihi kwa ajili yao; kwa
maana sitakusikiliza.
(Soma Yeremia 7:16)
 
Basi, wewe usiwaombee watu
hawa, wala usiwapazie sauti
yako, wala kuwaombea dua,
wala usinisihi kwa ajili yao; kwa
maana sitakusikiliza.
(Soma Yeremia 7:16)

bado network haijashika ndugu niweke sawa maana sisi wengine ni wapagani!
 
sasa kumbe fred hataki kuwowa wakati John anadalili za kuwowa,na mdada anataka ndowa kwanin fred asizimiwe simu.
 
wadada wajf mnavyopenda kuwanandga wanaume, hamu sina. Hapo ingekuwa ndo mdume anamtendea lady majicho yangewatoka utadhani mjusi aliyebinywa na mlango! Yaani ktk hili woooooooooooooooote kwa umoja weu mnashadidia uovu! ndo maana nataka nikawapime watoto wang waleeeeeeeeee nilowaambia nijue ukweli mie!
 
this is a serious acusation, ,mm binafsi sijatetea uovu,nimeona kama Fred hayuko serious na mdada wa watu,nitarudi baadae kujitetea vizuri.
 
wadada wajf mnavyopenda kuwanandga wanaume, hamu sina. Hapo ingekuwa ndo mdume anamtendea lady majicho yangewatoka utadhani mjusi aliyebinywa na mlango! Yaani ktk hili woooooooooooooooote kwa umoja weu mnashadidia uovu! ndo maana nataka nikawapime watoto wang waleeeeeeeeee nilowaambia nijue ukweli mie!

hate the sin, love the sinner
 
Naomba unionyeshe hapo nilipo"shadadia uovu" !
 
Bora kuwapanga tu, hawana muamana hawa.
Kama waweza wala hata 50 at per wale tu.
 
Kumbe Fred ana akili kweli kweli, mana anampiga kalenda mpaa zifike 40.
 
Back
Top Bottom