Shosti Mwanaume ana 'manii' nyingi yuleeeee! Muone vilevile tu!

Hii maneno nimeisikia nusu saa ilopita toka kwa mashostito watano walokuwa wanapiga domo muda huu wa kazi. Unajua tena hizi ofisi siku hizi zinatenganishwa kwa soft wood sio kama enzi zile za ukuta wa tofali za njanja. Bila kujua nipo kwa ofisi huku wamenogewa na girly story zao, wakaishia kuongelea wanaume vipanga waliopo kwa ofisi zetu. Nilifurahishwa na walivyokuwa wakimchambua jamaa yetu mmoja ambaye upole wake mepelekea 'kuwadungua' wadada wengi hapa ofisini. Aisee kumbe wanawake wanavutiwa sana na njemba walio wapol

Baada ya kumsema sana kuhusu huo u-lava boyi wake na kugundua kuwa wanne kati yao wameshapitiwa na mshikaji, yule ambaye alikuwa hajapitiwa akawaambie wenzake 'eti Amida kaniambia kuwa jamaa ana mbegu nyingi kweli', hivi ni kweli? Mwingine akadakia, "Shosti Mwanaume ana 'manii' (hapa alitumia lile neno lenyewe haswa) nyingi yuleeeee! Muone vilevile tu!", akaendelea zaidi-yaani sina hamu mtu unashinda siku nzima zinakuchuruzika mapajani utadhani uko kwenye siku zako; hafai kabisa mwanaume yule na mkewe kazi anayo na sikushauri shosti utoke naye utaishia kushinda na shombo la sh****a siku nzima, shida gani!

Nikajidai kama nafungua mlango kuingia ofisini baada ya kuona upuuzi wao umezidi ndipo waliponong'onezana wakidai waache hizo stori eti ntawasikia bila kujua kuwa nilishawasikia from A to Z.

My take: Jamani kina dada muwe mnatuhifadhi walau kidogo hasa kwenye mambo ya 6x6 please, msitudhalilishe kiasi hiki.

Sasa mbona unanisema!!!!ndio hivyo hivyo kweli
 
Ofisi yanu inashughulika na nini?
Inaonekana wafanyakazi ni wengi kuliko kazi zilizopo.Mngekuwa na kazi za kutosha muda wa soga za kipuuzi mngeutoa wapi?
I hope siyo ofisi ya serikali.
 
Haya mengine nimekuelewa ila hili la wazungu sijaelewa ulikuwa unawalenga watu gani hasa na kwa nini!!

Nilikuwa naandaika kwenye simu na haraka kidogo; my point is "watu wote hawapendi condom sio wa vijijini tu, hata wasomi, wazungu, waarabu etc; sio kitu asili"

Sasa mtu anapotafuta mtu kama anatafuta ule utamu hasa hasa, kuna uwezekano mkubwa wa kutotumia hiyo mipira. Wengi wanatumia mipira kwa hit n run; lakini wachache kwa wafanyakazi wenzao. Na ndio maana maambukizi haya huwa yanaathiri maofisi na mashirika kwa ajili ya romance ya kazini.
 
Preta mnayataka wenyewe...............
Mkikutana kwenye vijiwe vyenu hamuishi kuzungumzia ngono,.............. mtaacha kuzodolewa!?

Nyie mnaacha? Jukwaa la kikubwa kina nani wanongoza kwa kupost na kuimagine ngono?
 
Hii maneno nimeisikia nusu saa ilopita toka kwa mashostito watano walokuwa wanapiga domo muda huu wa kazi. Unajua tena hizi ofisi siku hizi zinatenganishwa kwa soft wood sio kama enzi zile za ukuta wa tofali za njanja. Bila kujua nipo kwa ofisi huku wamenogewa na girly story zao, wakaishia kuongelea wanaume vipanga waliopo kwa ofisi zetu. Nilifurahishwa na walivyokuwa wakimchambua jamaa yetu mmoja ambaye upole wake mepelekea 'kuwadungua' wadada wengi hapa ofisini. Aisee kumbe wanawake wanavutiwa sana na njemba walio wapole.

Baada ya kumsema sana kuhusu huo u-lava boyi wake na kugundua kuwa wanne kati yao wameshapitiwa na mshikaji, yule ambaye alikuwa hajapitiwa akawaambie wenzake 'eti Amida kaniambia kuwa jamaa ana mbegu nyingi kweli', hivi ni kweli? Mwingine akadakia, "Shosti Mwanaume ana 'manii' (hapa alitumia lile neno lenyewe haswa) nyingi yuleeeee! Muone vilevile tu!", akaendelea zaidi-yaani sina hamu mtu unashinda siku nzima zinakuchuruzika mapajani utadhani uko kwenye siku zako; hafai kabisa mwanaume yule na mkewe kazi anayo na sikushauri shosti utoke naye utaishia kushinda na shombo la sh****a siku nzima, shida gani!

Nikajidai kama nafungua mlango kuingia ofisini baada ya kuona upuuzi wao umezidi ndipo waliponong'onezana wakidai waache hizo stori eti ntawasikia bila kujua kuwa nilishawasikia from A to Z.

My take: Jamani kina dada muwe mnatuhifadhi walau kidogo hasa kwenye mambo ya 6x6 please, msitudhalilishe kiasi hiki.

we ndyoko na hz story zako,duh,
 
..Acha kusifia Ujinga Ndugu. Ukishamaliza kijiji kizima halafu, what next. Utakufa Tutakuzika, full stop.
Sihitaji kukua ili nione Wanaume wanaotembea na wanawake kijiji kizima, acha nibaki hapa. Tangulia.

kwenye red,...we utaishi milele??..kuna atakaye baki???
 
da jamaa kweli anawamaliza....lakini naona kama vile jamaa anapiga kavu hatumii hata kicondom vile...
 
kumbe wakijuana kuwa umeshawavua chupi wanahadithiana! wadada mna mambo asee. ningejaribu hapa kwetu lakini kuna mdada mmoja tu, sijui atamhadithia nani
 
Ukiona wife au gf wako anapenda stori kama hizo ujue na yeye yupo katika foleni ya kupitiwa. Inasemekana wadada wengi wakishapewa stori kama hizi huwa wanapenda kujionea wenyewe. Reseach imeprove hivi above 50%.
 
Ofisi yanu inashughulika na nini?
Inaonekana wafanyakazi ni wengi kuliko kazi zilizopo.Mngekuwa na kazi za kutosha muda wa soga za kipuuzi mngeutoa wapi?
I hope siyo ofisi ya serikali.

Mjinga kweli wewe, sidhani kama umesoma hii thread na kuielewa. Inakuwaje mtu mzima una-generalise hivi, kenge mkubwa weeeee!
 
Back
Top Bottom