Obama wa Bongo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 5,415
- 4,869
Habari wadau kwa wale tuliapply hii post ,jamaa wameshapigiwa simu kwa waliofanikiwa,kama bado basi tumekuwa unsucessfull,interview wanafanya jumatatu
ila tusihofu kwa tuliokosa kama ipo ipo tu
ila tusihofu kwa tuliokosa kama ipo ipo tu