jrmlaurence
Member
- Dec 2, 2010
- 80
- 57
Short na Long Call Kama haja ndogo ni ''short call'' Haja kubwa ni "long call" Basi kujamba iitwe "missed call"
================
================
tehetehetehe...lol,uko sahihi mzeiya kwasababu ukienda haja ndogo muda unaotumia ni mdogo ndo mana ikaitwa short.... lakini haja kubwa lazima utumie muda mrefu kidogo(long)..lakini kijambo kinabeep na kuacha harufu(missed call)Short na Long Call Kama haja ndogo ni ''short call'' Haja kubwa ni "long call" Basi kujamba iitwe "missed call"
================
..haja kubwa half an hour..hahaha..tehetehetehe...lol,uko sahihi mzeiya kwasababu ukienda haja ndogo muda unaotumia ni mdogo ndo mana ikaitwa short.... lakini haja kubwa lazima utumie muda mrefu kidogo(long)..lakini kijambo kinabeep na kuacha harufu(missed call)