tuwe wakweli
JF-Expert Member
- Feb 15, 2014
- 223
- 59
Habari wadau,nauliza ni wapi nitaweza kupata short course yoyote isiyozidi muda wa mwezi mmoja na itakayokuwa Desemba.
Habari wadau,nauliza ni wapi nitaweza kupata short course yoyote isiyozidi muda wa mwezi mmoja na itakayokuwa Desemba.
Hujaeleza inayohusu nini au kwa taaluma ipi ? na kwa level gani, seminar ? wapi ndani ya nchi au nje ? WAPO ESAMI , MANANGA, especially Business studies, managements,
Na mengine mengi