shopping mall in one of the chinese cities.

KUNANI PALE TGA

Senior Member
Feb 6, 2009
138
7
enjoy the world .
 

Attachments

  • 03%20Inside%20view.jpg
    03%20Inside%20view.jpg
    31.5 KB · Views: 279
  • 04%20Inside%20view.jpg
    04%20Inside%20view.jpg
    44.6 KB · Views: 281
  • 05%20Inside%20view.jpg
    05%20Inside%20view.jpg
    58.5 KB · Views: 277
  • 06%20Indoor%20area%20with%20cafe.jpg
    06%20Indoor%20area%20with%20cafe.jpg
    62.5 KB · Views: 276
  • 07%20Indoor%20area%20with%20cafe.jpg
    07%20Indoor%20area%20with%20cafe.jpg
    73.7 KB · Views: 266
  • 09%20Inside%20view.jpg
    09%20Inside%20view.jpg
    48.4 KB · Views: 262
  • 10%20Inside%20view.jpg
    10%20Inside%20view.jpg
    54.7 KB · Views: 254
Wonderful! Ila pamoja na uzuri huu wote kila mahali unapokuwa China huwa kuna ka-harufu fulani hivi (wao wameizoea) ... sijui huwa ni ya nini?
 
Wonderful! Ila pamoja na uzuri huu wote kila mahali unapokuwa China huwa kuna ka-harufu fulani hivi (wao wameizoea) ... sijui huwa ni ya nini?

Kila race ina harufu yake, ukikaa na wahindi wanaharufu yao, wazungu pia wana harufu fulani, waarabu pia vivyo hivyo na wachina wanayo hiyo ulio isikia (nusa). Pia hata sisi waafrika tunayo ya kwetu ila tumeizoea huwezi kisikia.

Ni sawa na jinsia ya kike ina harufu yake na jinsia ya kiume vivyo hivyo ila wewe utasikia ya jinsia tofauti. hii ni tofauti kabisa na vikwapa au harufu ya soxy. Fanya utafiti utagundua.
 
He he he hivi MLIMANI CITY na yenyewe ni shopping mall anyways kibongo kibongo ndio saizi yetu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom