Ngoja nijaribu, kimsingi maneno hayo hayana tofauti ni kama ni moja ni mbadala wa lingine, maana kwa kiingereza yote yanafasiriwa kama Mixes breed au Half caste! lakini hili Shombe limedadavuliwa zaidi kwa kuonesha ni mchanganyiko wa damu hasa ya mwarabu na watu wa jamii nyingine, wakati Chotara ni " coloured" na haijalishi amechanganya vipi damu! nawasilisha
jamani wapedwa kuna utata umejitokeza chit-chat kuhusu utofauti wa hayo maneno hapo juu.naomba ufanunuzi please![/QUOTE] Kwa mtazamo wangu ni vyema kwanza kujua maana ya Chotara na shombeshombe
Chotara naamini na mchanganyiko wa damu au asili ya mataifa mawili tofauti kwa level ya mabara na mchanganyiko wa asili ya mabala tofauti kwa maana hiyo naamini hata mchanganyiko wa makabila mawili unazalisha Chotara
Shombeshombe ni mchanyiko wa wabantu na watu wenyeasili ya uarabu huo ni mtazamo wangu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!:spy::spy:
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.