Shoga maarufu jijini Dar, Anti Asu

kudadadekiiii..chekiii alivyoo komaa,hivi kweliii kuna mwanaume ana mdandiaaa huyoo.amaakweliiii dunia hadaaaaa
 
Nakumbuka miaka kadhaa iliyotangulia jitu lenye tabia kama hii ya kupumuliwa kichogoni na wanaume lilipigwa shoka la chogo hadi kufa na baba yake mzazi huko Rombo, baba alikamatwa na alikiri kufanya hicho akidai kuwa watu wakimtukana na kusema hiyo ni tabia ya baba yake, akaongeza kusema serikali iamue lolote lakini yeye hayuko tayari kubeba aibu hii na hatimaye aliachiwa baada ya kushikiliwa kwa muda mrefu gerezani.
 
Yesu rudi rudi tunakuomba, hapa duniani basi, tutakwenda wapi ni kizazi hiki.
 
Astaghafirullah

Hawa wanaitwa *******....Aaaah MARUFUKU..... haifai kuwaweka kabisa kwenye JF maana kwao ni kuwatangaza!!!!!!
 
Mungu siyo mjinga kuumba mwanamume na mwanamke alikuwa analenga uendelevu wa kizazi cha wanadamu. Mfano wa Asu unaleta ukomo wa wanadamu. Kisayansi inaitwa "Genetic death". Namshauri aende kwa wana saikolojia abadilike ajitambue jinsia yake na aishi kufuatana nayo. Namuombea awe kaka Asu siku moja na siyo kuendelea na u-Anti.
 
Back
Top Bottom