SHOGA banned

Hivi hiyo filamu inafundisha nini? Sana sana vijana wetu wakiiona watataka kujaribu ndo itakuwa balaa zaidi, hatuitaki mtaani, ban for life.
 
Nyie mnaoichukia nadhani mna element ya ushoga! Kama huna hisia za kishoga inakuuma nini? Mbona picha za mauaji mnaangalia.
 
nasikia huyo tino ni shoga sasa akaandaa filamu ya ku-support mashoga waonekane kama ni watu wanaofaa katika jamii. Bora wameifungia tena wampe onyo alituletee mambo ya obama kuitisha uganda ili mashoga waonekane kama watu wa kawaida katika jamii wakati wanaenda kinyume na maadili ya jamii na vitabu vya mungu. kimsingi wanatakiwa kulaaniwa kwa nguvu zote
 
Ni vizuri walivyofanya hivyo,cz filamu yenyewe amekopy toka filamu ya nje jina limenitoka kidogo
ila ni kila kitu alichobadili ni lugha tu.
KAKOPY filamu ya kinaija inaitwa men in love nyambafff!!!!
 
Sipati picha hasara aliyopata hawa washikaji, kama haikuwa chafu sana waibadirishe jina tu na kuiingiza sokoni wasisahau PG restrictions..., Kama mjasiria mali nimeumia kidogo.
 
Sipati picha hasara aliyopata hawa washikaji, kama haikuwa chafu sana waibadirishe jina tu na kuiingiza sokoni wasisahau PG restrictions..., Kama mjasiria mali nimeumia kidogo.

mkuu alitakiwa apate ushauri juu ya sinema yake kabla hajaitengeneza...impact yake kwa jamii isingekuwa nzuri kabisa.
jamii inayomzunguka ndio imempotosha,si unajua kule magomeni mashoga wanashabikiwa
 
Tatzo lenu watz wagumu kuelewa ndo mana matokeo yanakuwa mabaya watoto wamerith kwenu, ile movi haina ubaya theme yake inakemea ushoga na wala haisapoti! Kazi ya sanaa ni kufundisha,kuonya na kukemea maovu ktk jamii tino ameitendea haki jamii kwa kuionya juu ya tabia ya ushoga kwani ushoga haufanyiki tz? Tatzo 2lilonalo watz ha2pendi kuambiwa ukweli. Bg up tino dnt luz hope de mov soon wl b released, na mapambano yataendelea hao wanaoiponda theme ya movi imewagusa labda nao ni wahanga wa ivyo vitendo na ndo mana wanaogopa movi itawaumbua. Habari ndo iyo.
 
Kilichosababisha filamu ile kuwa banned sio mafundisho yake bali ni mandhari yake.
Kuna sehemu mule huyo starling, Tino yupo bafuni na jamaa anamkanda mgongo yaani ni kichefu chefu aisee.
Bora wameipiga ban.
 
sasa iyo scene ina tatizo gani alichokifanxa yy ni kuuvaa uhucka bla kuweka vpengele km ivyo jina la movi licngesadifu yaliyomo, km ina taswira mbaya kwa jamii mbona movi km oprah ina scene ambazo c nzuri kwa maadili ye2? Au ni kwa sbb znaonyesha jinsia mbili tofauti?. Watanzania wenzangu 2fke mahali lzma 2kabiliane na ukweli no matter how much it wl pain. Tatzo la wanaume wa kbongo kuigizwa wanagongwa inawauma sana sbb mara nyingi wanajiona ni vdume vya mbegu. Truth always hurt
 
Mimi nahisi hiyo ban ndio inaipa umaarufu zaidi hiyo filamu, watu wataitafuta kwa juhudi ili wajue nini kilichomo
 
Tatzo lenu watz wagumu kuelewa ndo mana matokeo yanakuwa mabaya watoto wamerith kwenu, ile movi haina ubaya theme yake inakemea ushoga na wala haisapoti! Kazi ya sanaa ni kufundisha,kuonya na kukemea maovu ktk jamii tino ameitendea haki jamii kwa kuionya juu ya tabia ya ushoga kwani ushoga haufanyiki tz? Tatzo 2lilonalo watz ha2pendi kuambiwa ukweli. Bg up tino dnt luz hope de mov soon wl b released, na mapambano yataendelea hao wanaoiponda theme ya movi imewagusa labda nao ni wahanga wa ivyo vitendo na ndo mana wanaogopa movi itawaumbua. Habari ndo iyo.

Wewe Mataka nawe ni shoga, utaanzaje kusupport usodoma na Gomora? Kichefuchefu, aibu na dhambi chafu kihivyo itaanzajwe kuigwa na kurekodiwa! Ina maana hujui watoto wetu utakacho wakataza ndiyo anafanya? Au wewe huna watoto au tuseme vijana ambao wako kwenye foolish age! Hujaona wewe mtoto unamkataza kushika wembe kuwa utamkata, na yeye analilia huo huo wembe! Sasa wakishaanza kuonyeshwa kwenye television si kila mtoto wa kiume ataiga kwa kumfanya mwenzake wa kiume! Na matokeo yake ni nini, wakishanogewa? Kabla hujasupport upuuzi inabidi ufikirie kwanza impact ya hicho kitu unachokisupport! Inabidi tukemee ushoga lakini siyo kwa strategy hiyo ya Tino! Ipo mikakati ya kukemea ushoga! NAOMBA MUNGU HIYO FILAMU IWE BANNED COMPLETELY
 
ndo mana siku hizi siangalii movie za kibongo,
zinazolinda maadili ni chache.
 
Back
Top Bottom