Shocking Truth Kutoka Loliondo

Nyenyere

JF-Expert Member
Sep 9, 2010
14,769
10,650
Leo redio WAPO imeripoti kuwa idadi kubwa ya watu wamepoteza maisha siku chache baada ya kunywa kikombe cha babu. Hii ni kwa mujibu wa riporter kutoka Arusha. Wanaoongoza kwa kukumbwa na madhila hayo ni wagonjwa wa kisukari ambao walidhani wamepona na hivyo kuacha kutumia dawa za hospitali. Nawasilisha.

1Yoh 3:8 Kwa kusudi hili Mwana wa Mungu alidhihirishwa, ili azivunje kazi za Ibilisi

A smooth sea never made a skilled mariner.
-English proverb
 
Nani aliwaambia waache kutumia dawa?

Mbona Babu anasisitiza watu waendelee kufanya matibabu ya kawaida hadi WAKAPIME afya zao Hospital?

Hao basi WALIDHANI vibaya na imewa-cost. RIP wao na hiyo Radio WAPO.
 
Nina ushahidi wa mgonjwa mmoja wa kisukari. Alipotoka kwa babu alikuwa anatamba kuwa KAPIGA KIKOMBE cha babu na aligonga soda mbalimbali njiani. Baada ya siku saba kapima kakuta sugar as usual.

Sasa tuamini nini kwa shuhuda hizi?

babu wa loliondo anatibu kwa imani,full stop,
tiba yake ipo kiroho zaidi,siyo sayantifik hivyo tarajia majibu yasiyo fanana kwa kila aliyekunywa kikombe.
nawajua wanaosema kuwa wamepona baada ya kunywa kikombe,e.g kuna mmtu amerudisha heshima kubwa ktk ndoa yake baada ya kupata kikombe
 
Mwanzoni ilianza kwa mbwembwe nyingi kwamba "yeyote atakaye fika kwa babu hatakufa." Remember?
Then ikaja "Wagonjwa mahututi wapewe priority." Picha nyingi tu zikaonyesha watu kwenye machela wakivushwa kwenye foleni
Kisha "Waliozidiwa wasiletwe Samunge." Baada ya vifo kuripotiwa
Mwishowe "Wagonjwa waje na dozi zao na wasiache kutumia hata baada ya kunywa kkombe." Why? Uhakika wa kutibu mashakani hapa. Taarifa wa watu kufariki hata baada ya kunywa kikombe.

Shuhuda za immediate healing ambazo zilichangia kwa kiasi kikubwa debe la babu zikafifia ghafla. Nguvu ya dawa ikapungua. Sasa watu wanatakiwa waendelee na dozi za hospitali walizozipuuza. Wale waliojigamba kuanza kula nyama hapohapo samunge baada ya kupona allergy, wale walio anza kushindilia dozi za soda na bia baada ya kuponywa kisukari , hawa wote hatuwasikii tena. Do you learn something here. Think critically, ushabiki kando.

Fool me once, shame on you. Fool me twice, shame on me ! Wise Quotes

Jesus is Lord
 
babu wa loliondo anatibu kwa imani,full stop,
tiba yake ipo kiroho zaidi,siyo sayantifik hivyo tarajia majibu yasiyo fanana kwa kila aliyekunywa kikombe.
nawajua wanaosema kuwa wamepona baada ya kunywa kikombe,e.g kuna mmtu amerudisha heshima kubwa ktk ndoa yake baada ya kupata kikombe

Mmmh - their better halves should be able to prove this..; halafu wanaorudisha heshima katika ndoa ni akina baba tu au it works both ways?
 
babu wa loliondo anatibu kwa imani,full stop,
tiba yake ipo kiroho zaidi,siyo sayantifik hivyo tarajia majibu yasiyo fanana kwa kila aliyekunywa kikombe.
nawajua wanaosema kuwa wamepona baada ya kunywa kikombe,e.g kuna mmtu amerudisha heshima kubwa ktk ndoa yake baada ya kupata kikombe

Lakini tatizo hili halikuwemo kwenye manifest ya babu mwanzoni! Nadhani hata yeye alikuwa shocked!!!!!!!
 
kama ni wale waliofanya fujo wakajigawia dawa bila utaratibu, wapo waliovushwa foreni na askari wa ulinzi, wapo wengi mno waliokwenda kinyume na HAKI , babu aliwaambia wanajidanganya. Tumezoea kutoa rushwa ili tuwapiku wenzetu, kwa babu hiyo ni break wote watarudi ma-wardini na kwenye maduka ya dawa. HAKI HAKI MBELE KWA MBELE. Kwa Muumba sote haki sawa. Kama X kapanga foreni kwa nini cheo chako cha duniani kinakuzuia wewe kupanga foreni hata mbele ya aliyekuumba? NGOMA hiyoooooooooooo
 
Unataka kutoa ujumbe gani kwa waliofika kwa chopper na ma-vx v8?

Kweli wa-tz wengi wamefungwa ufahamu. Ni nguvu ya Mungu pekee inayoweza kuwafungua.
 
3.jpg
 
Ukweli utajulikana soon!naomba afe kiongozi ili ushabiki uishe!
Kipindupindu ndugu yangu, punguza jazba. Kufa kwa kiongozi ni sawa na kufa mkulima hahehohe, wote mbele ya Mungu ni binadamu. Kufa kwa kiongozi hakutosaidia kupunguza imani za watu.
 
NYENYERE usiropoke tu kama vile unavyoenda chooni na kuachia makalio yako yatoe uchafu free.
Hayo unayoyasema khs Babu una uhakika ameongea yeye au unaskia habari kutoka kwa watu tu.
Hapa JF ni kwa great thinkers b4 u write u must do a research.
 
Hii habari nimeiona kwa gazeti moja la Shigongo. Inawezekana hiyo blogu imekopi hapo, na frontpage ndo hiyo hapo juu!
 
Ukweli utajulikana soon!naomba afe kiongozi ili ushabiki uishe!

.
Wakati waelekevu wa moyo wanawaombea wagonjwa waponywe maradhi yao, ibilisi(mtesi) na maagent wake wanawaombea kifo.
Hapa ndipo unapowezatofautisha, wema kutoka katika lundo la waovu wenye wivu uliopidukia mipaka.
.
 
babu wa loliondo anatibu kwa imani,full stop,
tiba yake ipo kiroho zaidi,siyo sayantifik hivyo tarajia majibu yasiyo fanana kwa kila aliyekunywa kikombe.
nawajua wanaosema kuwa wamepona baada ya kunywa kikombe,e.g kuna mmtu amerudisha heshima kubwa ktk ndoa yake baada ya kupata kikombe
Unapozungumzia neno kiroho zaidi it's about miracles ambapo huhitaji kwenda Loli peke yake; but unapokuja na notion ya kunywa kikombe thatz medicinal na hiyo ni herbalism kama Matunge and the likes except huyu wa Loli kaja na gia ya kuoteshwa na pia mtu ananyweshwa kikombe kimoja tu! Every proponent wa Loli should be scientific and be able to explain the anatomy behind babu's herbal vinginevyo subirini kuumbuka!
 
Nina ushahidi wa mgonjwa mmoja wa kisukari. Alipotoka kwa babu alikuwa anatamba kuwa KAPIGA KIKOMBE cha babu na aligonga soda mbalimbali njiani. Baada ya siku saba kapima kakuta sugar as usual.

Sasa tuamini nini kwa shuhuda hizi?

sio mrema huyu?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom