Shocking: Abiria akutwa na bastola kwenye ndege

Mbona hii habari tulishaipata hapa JF wiki moja iliyopita na tumeshaijadili! yaani gazeti ndio wanairipoti leo? kweli JF kiboko kwa style hii hakuna haja ya kununuwa magazeti ni bora kulog in JF basi, na habari zote muhimu utakuwa wa kwanza kuzipata.

Mzee wa Tone Radio kumbe unakumbuka?hii habari nilileta mwenyewe hapa JF...Mana nlikuwepo uwanjan na my wife nlimsindikiza alikuwa ndan ya hyo ndege...nilipost nikiwa pale Flamingo Cafè..Tusker Baridii anapafahamu...Jamaa wakanishambulia kweli..eti mi muongo,sijawah panda ndege sijui taratibu!aya leo Mwananchi hao
 
Au walijua ni mke wa "Madeni ya Maharage" maana inaonekana wao ni ruksa kutembea na hiyo miguu ya kuku!
 
Back
Top Bottom