Shitambala ajiuzulu uongozi wa CHADEMA Mbeya!

Kama kweli alikula rushwa, let him go.

Chadema siyo kichaka cha kutolea haja.

Chama kinakua sasa ( Na mti wenye matunda ndio unaopopolewa mawe) Acha Shitambala apumzike. Amenifurahisha amesema anajiuzuru uongozi na sio anatoka ndani ya chama, hii safi. Pumzika mwenyekiti!
 
Nimesikia TBC wanasema milioni 100 wewe 600 na pia nimesikia kauli yake akisema anapisha uchunguzi ufanyike kwanza ataendelea kuwa mwanachama wa kawaida.

Heading yako utata

hata kama heading ni 600mil na TBC1 100mil zote hizo ni tuhuma hata ingekua TSH 1 bado ni tuhuma na mtu kama huyu si msafi,ukiona limesemwa ujue kuna evidence na ndo maana amekubali kumwaga manyanga!
i doubt hata chama mda si mrefu atahama,take my word.
 
Sielewi kwanini chama kinaweza kujaribu kununua ubunge kwa kiasi hicho. Ni vigumu kuamini.. lakini vile vile sijaona kwanini hadi sasa haijawezekana kuwatega hawa watu wanaopita na kutoa ofa za namna hiyo.

a. Hakuna aliyetegwa akinunua shahada
b. Hakuna aliyetegwa akiuza kura
c. Hakuna aliyetegwa akinunua Ubunge

Vyote vinasadikiwa vinatokea.

Mzee, pamoja na hayo yoote, huyu bwana hakuwa "kibandiko" ndani ya Chadema kweli?Naamini wako wengi wanasubiri wakati waonyeshe wao ni kina nani.
 
KWANI HUYU AMETIMULIWA AU KAJITOA MWENYEWE? si anadai hasikilizwi?

Kwanini unafikiri hasikilizwi mkuu?kwanini mbowe asipokee simu yake kwa mda mrefu wakati yeye shitambala ndo mwakilishi wa CDM mbeya?
 
Mnatuchanganya na source zenu, ninaangalia TBC 1 sasa hivi Dr. (PHD) Slaa kamwandikia barua Shitambala kuwa uchunguzi umefanyika na CDM imejiridhisha kuwa Tuhuma hizo si za kweli hivyo Shitambala aendelee na Uongozi wa chama.
 
Lakini tatizo liko wapi, Mwenyekiti kavuta lakini kura yake kampa Chadema na Ubunge umepatikana shida iko wapi mtu akivuta ngawila kisha akawatosa..au mimi ndio sielewi mchezo ulimalizika vipi?
 
Mnatuchanganya na source zenu, ninaangalia TBC 1 sasa hivi Dr. (PHD) Slaa kamwandikia barua Shitambala kuwa uchunguzi umefanyika na CDM imejiridhisha kuwa Tuhuma hizo si za kweli hivyo Shitambala aendelee na Uongozi wa chama.

unachanganywa na source gani?
kama ni uongo mbona DR. kama mwambia aeendelee na kazi?ina maana hakujuuzulu?
Ukweli ni kwamba jana SHITAMBALA alijiuzulu hilo la sasa kua ameambiwa arudie kazi yake bado geni kwangu,ila kujiuzulu alijiuzulu jana!
 
Mimi sishangai sana kwa sababu huyu bwana nilikuwa nategemea atafanya kitu kama hiki(kuchukua mlungula). Huyu bwana alipata kuwa mwajiliwa wa JWTZ kama mwanasheria wa Jeshi. Alifukuzwa kazi kwa kuwa alikuwa anachukua pesa upande wa pili na jeshi linashindwa kesi. So sishangai!!

2008 alipopata pingamizi wananchi wengi walisusa kupiga kura wakiwa na imani naye sana. 2010 wananchi walijitokeza kwa wingi kukiadhibu chama tawala. cha kusikitisha - punde na mara chadema inapoteza jimbo mh. LLM anaweka (throw) party kubwa sana na wafanyakazi wa kampuni yake!! what a nasty coincidence!!! let him GO!!
 
Back
Top Bottom