Shirima atutoka

Tanganyika1

JF-Expert Member
May 10, 2011
422
86
Mbunge wa bunge la jamuhuri ya muungano ya Tanzania amefariki leo hii katika hospiatali ya taifa ya muhimbili ambako alilazwa kufuatia ajali alopata akiwa anarejea mjini Dodoma kutoka kwenye mazishi ya Kaka wa mkewake. Aidha katika ajali hiyo mke wa mheshimiwa Shirima alipoteza maisha. Mungu ailaze pema roho ya marehemu; Amin
 
tayari hii makitu ipo humu majukwaani!

btw, jina sahihi ni Silima na si Shirima, all in all pole kwa familia!
 
Mbunge wa bunge la jamuhuri ya muungano ya Tanzania amefariki leo hii katika hospiatali ya taifa ya muhimbili ambako alilazwa kufuatia ajali alopata akiwa anarejea mjini Dodoma kutoka kwenye mazishi ya Kaka wa mkewake. Aidha katika ajali hiyo mke wa mheshimiwa Shirima alipoteza maisha. Mungu ailaze pema roho ya marehemu; Amin

Sahihisho la jina la marehemu: si Shirima ni Silima. Jina kamili ni Mh. Mussa Khamis Silima Mbunge kutoka Baraza la Wawakilishi (CCM).
 
Dah! Jana niliona TBC yeye na dereve wake wakifikishwa MOI Muhimbili. Aisee that's too bad..RIP Mh. Silima na pole kwa wafiwa wote.
 
Mbunge wa bunge la jamuhuri ya muungano ya Tanzania amefariki leo hii katika hospiatali ya taifa ya muhimbili ambako alilazwa kufuatia ajali alopata akiwa anarejea mjini Dodoma kutoka kwenye mazishi ya Kaka wa mkewake. Aidha katika ajali hiyo mke wa mheshimiwa Shirima alipoteza maisha. Mungu ailaze pema roho ya marehemu; Amin

Mungu ailaze mahali pema roho ya marehemu Shirima samahani alikuwa wa Chadema au wa Chama gani? na ni wajimbo gani?
 
Duh, Masawe, hii mtu inadai eti Shirima imeresti in peace? Thata rire deni rangu ataripaje? aah kumbe sie ni Silima, basi nawapa pole wote jamani
 
Duh hii kali nilidhani mkuu wa mkoa wa Arusha katutoka.Mkuu kunatofauti kubwa baina ya Shirima wanatoka Kilimanjaro Silima Zanzibar.
 
Hata mimi mkuu nilidhani mzee Isdore Shirima a.k.a Baba Nana moyo ulinilipuka maana hii familia naifahamu tangu mzee alipokuwa mkuu wa mkoa Dodoma.
 
rip
kuna wale ndugu zetu hawa tofautishi kati ya r na l tupo nao wengi mitaani huku kwahiyo wana utata sana kwenye matamshi yenye r na l so watch out
 
Hili tatizo la kuchanganya herufi ni hatari sana! Hapa ametuvuruga sana akili. Binafsi nilidhani ni Shirima wa Precisionair!
 
Back
Top Bottom