Kichuguu
Platinum Member
- Oct 11, 2006
- 15,557
- 19,432
Nadhani hiyo itasaidia sana kuua rushwa nchini kwetu. Wachina ni watoa rushwa sana ili kukamilisha haja yao, jambo ambalo ni mwiko sana kwa wamarekani. Kwa hiyo wamarekani wakiwa na influence sana nchini kwetu itakuwa jambo zuri sana. Kumbuka kuwa hata maendeleo ya kiuchumi china yalitokana na uwekezaji mzito wa marekani mwanzoni mwa miaka ya tisini.