Shirika la umeme la marekani kujenga mitambo Dodoma...kuna siri gani?

Jaxx

Senior Member
Mar 22, 2011
129
28
Kumekuwa na ujio mkubwa Viongozi Maarufu wengi kutoka Marekani kuja tanzania na hata Matajiri maarufu wa dunia kutoka marekani kama Mr & Mrs Bill Gate, halafu ghafla shirika la Umeme la marekani limeonyesha nia ya kuwekeza hapa nchini,mimi nakuwa na wasiwasi sana na uwazi wa miradi hii, hebu tusaidiane mawazo,,Isije kuwa Richmond nyingine ndo inanyemelea taifa!!!!
 
Hapa kwa mtazamo wangu ni kwamba wanataka kudhibiti yatakapoanza kuchimbwa madini ya uranium wajue yanakwenda kwenye mikono salama na kwa ajilili ya maendeleo.Si unajua tena nchi ikichukuliwa na wanywa kahawa madini yanaweza kupelekwa kwa mfano .Iran halafu wakatengenezea mabomu yao. Si unajua kutoka dodoma mpaka manyoni ni kama 120km.
 
Radi sina sababu ya msingi ya kutofautiana na wewe, kwa mawazo kama haya yako tunaweza kupata mengi zaidi yaliyojificha nyuma ya hoja hii ya umeme wa Mmarekani Dodoma
 
Kumekuwa na ujio mkubwa Viongozi Maarufu wengi kutoka Marekani kuja tanzania na hata Matajiri maarufu wa dunia kutoka marekani kama Mr & Mrs Bill Gate, halafu ghafla shirika la Umeme la marekani limeonyesha nia ya kuwekeza hapa nchini,mimi nakuwa na wasiwasi sana na uwazi wa miradi hii, hebu tusaidiane mawazo,,Isije kuwa Richmond nyingine ndo inanyemelea taifa!!!!

Marekani inashindana na China ktk Africa sasa hivi. Kwa hiyo, target yao kubwa TZ ni port tuliyonao. Wanajua China ndiyo inaitumia port yetu kusafirisha malighafi kwa wingi kwenda China. Sasa hivi wanataka kuitawala TZ, Dodoma kwenye bunge serikali, ili waweze kucontroll influence ya China ndani ya TZ, kwa njia ya capital investment. Hii ni kampeni maalum ya Marekani ktk TZ, Afrika, ya kutaka resources.

Also, pia ni jambo zuri kwetu sisi TZ, Africa. Waache US washindane na China, sisi tunachotaka ni investments.
 
Kama ni kweli kuna nia ya dhati ni jambo jema ila kwa takwimu zangu China kwa TZ IMPORT>EXPORT, na kama ingekuwa hivyo tunajitambua kuwa sisi ni big deal mbona hatutumii advantage kwa kutowapa misamaha ya kodi,,rejea mchango wa Zitto kabwe leo asubuhi, Ila hapo red nakuunga mkono mkuu
 
In reality, tunaexport more zaidi kuliko import. Wachina wanachukua raw material kwa bei ya chini sana kulinganisha na import zao feki. Ukienda bandarini Dar, utaona export ya China ilivyo juu ktk raw materials.
 
Mambo mengi yanafanyika sasa Afrika. Tuliwafukuza lakini sasa tunawakaribisha.

Soma hizi stori mbili halafu changanya na zako.

The new African land grab
Foreign investors, with the World Bank, are acquiring vast tracks of land in Africa - at the expense of local farmers.
The new African land grab - Opinion - Al Jazeera English

Obiang said "extra-African agents" were taking advantage of a lack of African unity to interfere on the continent, either to defend the interests of other countries or individuals.

Obiang said the continent, rather than outsiders, should find the cash for the AU, as a matter of pride and also self determination. "He who pays gives the orders," he added.
Eq. Guinea's Obiang slams foreign intervention in Africa | News by Country | Reuters
 
Kitakachokuja kutusikitisha hata baadae ni sisi kutoweza kutambua nafasi yetu katika vita hivo vya China na Marekani. We cannot have it both wayz. Ni lazima tuchague upande na upande tunaouchagua lazima tuufahamu vizuri, faida zake na hasara zake, risks zake na vitu vingine. Tutoke kwenye kuona umeme kama ndio tatizo letu kubwa tu. Je mifumo yetu ya kiuendeshaji inaweza kufaidisha taifa, au inamfaidisha tuliyemchagua??

Tusije kuishia kuona umeme wa Dodoma maana yake ni kuwasha taa ndani na mitaani. Kufurahia kuona hatuna mgao kwa sababu hatuko ktk nyumba iliyo na kiza kinene!!

We should thik outside the box and beyond what we see.
 
Radi umesema vyema kabisa .Hili ndilo kubwa na yanakuja mengi tu utaona mwenyewe baadaye .
 
Sijawahi kusikia kuna Shirika la Umeme la Marekani... naomba mnisaidie.
mzee mwanakijiji wasiwasi wangu km wako tu, nahisi kuna wajanja wanatuchezea shere isijekuwa wamewaokota watu tu huko ili mradi wazungu wame wa frame wamewaleta airport wakajifanya wamarekani wakawapa matumaini mkajiona mnapeeendwa na wamarekani kumbe kanyaboya kumbukeni richmond mitambo ilishushwa pale airport ya dar kwa mbwembwe lkn waaapi tupo gizani mpaka leoo
 
Marekani sasa hivi wanajishuhulisha na maisha ya kizazi chao kijacho kiishi kwa usalama gani, uchumi gani, miundo mbinu gani nk nk, sisi ndio kwanza hatujafikiria tutaishije sisi wenyewe na badala yake tunaelekea kuupoteza utu wetu kwa hao mataifa makubwa. Eee! Mungu tusamehe tulichokukosea utupe mawazo na ufahamu wa kujitambua na kuepuka hatari iliyo mbele ya taifa letu ili watoto wetu wasije kuwa watumwa katika nchi yao.
 
Ninavyojua mimi, urafiki wa Marekani kwa nchi masikini kama hii huwa ni wa kimanufaa kwao zaidi.
 
Back
Top Bottom