Shirika la Kilimo Tanzania

ndekia1

Member
May 5, 2008
31
5
Tarehe 22/08/2011 kwenye gazeti la Daily news Kuna nafas zimetangazwa SHIKITA. lakini cha ajabu ukienda kwenye website yao wanakwambia ulipe elfu 20.
Applicants are supposed to pay a non a non-refundable application fee of 20,000/= tsh.which will be used to cover meals and other services to the day of interview.applications through e-mail will be rejected.applicants must make sure they fill and sign form ps01 and attach it with a copy of original pay-in-slip to the SHIKITA CRDB Acc 01j1066818900.
Applications must be sent to address below
KATIBU MKUU
SHIRIKA LA KILIMO TANZANIA
P.O.BOX 6185
MBEYA.
The dead line for submitting all the applications is 25/10/2011
 
huu ubwege, mi ntafauta kazi nipate hela mwingine ananigeuza mtaji? hii ni TZ tu huwezi kuta mahali pengine
 
Ukiona hivi ujue hawa wasanii wamepanga kukusanya hizo elfu 20 kifisadi ndio mtaji wao. Pia ni vigumu sana kupata kazi hapo na kila wakati watakuwa wana re-advertise ili kukusanya mpaka watosheke ndo waweke wanaowataka.

Dawa ya mishirika kama hii hakuna kufanya application tena mishahara yao unakuta ni kiduchu sana
 
Wizi mtupu, watu wameona biashara ya kuuza application forms inalipa.
 
Hiyo SHIKITA ndiyo nini tena??????? du kweli tanzania zaidi ya uijuavyo!
 
tunaomba vyombo husika wafuatilie hili, hiv hawa pccb hawaingii hapa watusaidie?
 
daah.... hii ni hatari, kwani nilikuwa na mpango wa ku-aply lkn roho ilikuwa inasita ,,,hivyo sikuangaika kufuatlia in detail, wiz mtupu huu...
 
Most probably hili ni shirika la kitapeli.Mambo mengi mabaya huwa yanatoka Mbeya.An application fee?! Sijawahi kusikia.Haya mageni.
Tarehe 22/08/2011 kwenye gazeti la Daily news Kuna nafas zimetangazwa SHIKITA. lakini cha ajabu ukienda kwenye website yao wanakwambia ulipe elfu 20.
Applicants are supposed to pay a non a non-refundable application fee of 20,000/= tsh.which will be used to cover meals and other services to the day of interview.applications through e-mail will be rejected.applicants must make sure they fill and sign form ps01 and attach it with a copy of original pay-in-slip to the SHIKITA CRDB Acc 01j1066818900.
Applications must be sent to address below
KATIBU MKUU
SHIRIKA LA KILIMO TANZANIA
P.O.BOX 6185
MBEYA.
The dead line for submitting all the applications is 25/10/2011
 
Weziiii kudadadeki! Ndo maana deadline iko mbali ili wakusanye pesa nyingi, pumbavu! Hili si ni shirika la umma?! DAMN YOU!
 
huu ni upumbavu mkubwa wanataka kukusanya fedha hawa hawana kitu, wezi hawafai jamani hakuna kitu hapo
 
mbona hawajataja physical address yao?? wanasajili wakata mkonge na myuwa nini??
 
Kwa kweli inasikitisha kwamba SHIKITA linahitaji kuchangiwa fedha kwa ajili ya chakula na vitu vingine. Je, wana uhakika upi kwamba kila atakayeomba kazi ataitwa kwenye usailii? Au huo ni utapeli wa aina yake? Kama kazi zipo kweli waitwe watakaonufaika na wachangie hiyo 20 kwa kuwa watakuwa wamewapitisha tayari au la waepuke!
 
Duh,hii nayo mpya.Mbona shirika lenyewe kama limekaa kiserikali serikali vile?(though sijawahi kulisikia,maana najua mashirika ya aina hii yalikufa enzi za mzee ruksa). Anyway, tumejitakia.Tumewapa kichwa mafisadi hadi kila mtu mwenye kinafasi yupo inspired na mafisadi na anajaribu namna yake ya kutoka.
 
wanatumia tatizo la ajira kwa vijana wa Tanzania ili kujinufaisha,we uliona wapi apllication ya kazi ikilipiwa?huu ni wizi!
hawatuonei huruma kwa hizi gharama za kuandaa cv na kutoa copy vyeti kila tuonapo nafasi ya ajira lakini bado wanataka kutubebesha tena mzigo mwingine!
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom