Shinyanga na Madini. Shinyanga na Mashimo. Shinyanga na Njaa ya Chakula

Mabadiliko si siku moja ni mchakato, hivyo usije ukadhani hawa watu wamelala, Kimya kingi ......

Hapo umenena shule yako ya uhakika ulisomeshwa na ukaelimika na kupata maarifaaaaaa.Huyu ng'wanangwa analeta ukabila, mabadiliko ni mchakato si kama anavyorahisisha na kudharau mabadiliko yaliyofikiwa na wana-shinyanga.Big up Ngoko
 
Inatia kichefu chefu sana, hebu angalia barabara ya kwenda ukenyenge Mhunze yaani balaa! kwingine ndo usiseme hata hii Kubiki - Maswa labda saizi kidogo maana nina siku nyingi lakini njoo kwenye shule! pindi nasoma pale Ngunga- taraga shuleni kulikuwana walimu 3 darasa la kwanza hadi la saba, kudadadeki utafaulu hapo? Lakini mimi kama mpiganaji sikukata tamaa niko ughaibuni nakata zangu shule.

Cha msingi, ccm hatuwataki shy, na 2015 wasiweke kabisa wagombea hawatapa kitu.
 
Back
Top Bottom