Shinyanga: Kiongozi wa CHADEMA aumizwa vibaya, akimbizwa hospitali

Sikia mkuu umenielewa vibaya siwezi kumtisha hata kidogo jaribu kuangalia namna ambavyo lu-ma-ga alivyofunguka kwenye coment zake,amekwenda kwa spidi kubwa sana na kashusha vitu vizito ambavyo vinaonekana vina ukweli mkubwa ndani yake,sasa kwa mtu mwenye busara kama mimi na mtu ambaye.........nt.ndiyo maana nimemwambia kwamba a take time kidogo katika kushusha vigongo hivy,tunataka tuvione ndiyo lakini aende hatua kwa hatua.

kwa sababu ametiririka kwa kasi mnooooooo!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Ukweli ukweli tu. Ukweli utasemwa hata mbele ya ncha kali ya upanga, mbele ya bomba la bunduki na hata mbele ya watu wajaao damu. Ukweli utasemwa na utabakia kuwa ukweli. Ccm wamechaguana majambazi.
 
Hapa mtu anatakiwa aangalie tofauti kati ya uchunguzi wa rpc mwanza na raia wengine utagundua sjt inayoozwa na ccm ni makaburu, nasasa tunatawaliwa na makaburu weusi, mbaya zaidi ni vishoka wa wazungu na waarabu kwa ujira haram.
 
Viongozi wakuu wa cdm, inatosha sasa tutangaze mgogoro pia na mapolisi wote , na tukatae kabisa kushirikiana nao, tujilinde wenyewe kwa kweli, tundu lissu, na prof safari, na malando haya maswala hivi hatuwezi kufungua mashitaka dhidi ya jeshi la polisi hata the hague uholanzi??? Wanatumaliza hao mashetani wa nyinyiemu, jamani inatosha sasa tumevumilia sana, mnataka afe slaa au mbowe ndio tuchukue hatua??/ inatosha
 
Get well very soon Kamanda.

CHADEMA, how long shall these crimes be perpetuated b4 you awake and act?
 
nahisi atasema hivi....... "yule mwanchama wa chadema alikuwa anataka kurusha rungu kwa watu waliokuwa kwenye mkutano basi akaangukia kwenye kitu chenye ncha kari kikamjeruhi, polisi wanaenderea na upepelezi kwa ajili ya kumchukulia hatua huyu mtu ariyeumia".

Yani Umepatiaa kabisa.......
 
Sasa hawa CCM wana maana gani na nini mahusiano ya Polisi na CCM? wee waache tu siku zao zinahesabika 2015 ni karibu sana badala waanze kujikomba CDM , Hawasomi nyakati au wamevaa miwani ya mbao???
 
Mkuu Manumba asipomalizia Ghorofa lake kwa hizi perdiem za kwenda kuchunguza vifo bhasssssssssssssssss!:glasses-nerdy:
 
jamani watu wakatiri sana unamchoma mwenzio na mkuki si bora hata upinde jamani jamani nchi hii tunakwenda wapi
 
Pole sana kamanda.....nawaomba sana cdm msife moyo kwani katika kutafuta ukombozi wapili mambo kama haya hayaepukiki...Tuzidi kumwomba Mungu ambaye pia anachukizwa na vitendo hivi na pia malipo ni hapahapa Duniani na ushindi wa cdm kwa hiyo kata utapatikana..damu ya mtu huwa haimwagiki bure...Yalitokea KIRUMBA-Mwanza na ARUMERU
 
Hii ni nini? Ina maana mkakati wa "ushingi wa kishindo kwa Nguvu ya Rushwa" hauaminiki kama utaendelea kuwafanya watawala? Sasa mnataka kuchinja wote wanaosimama katika njia zenu za kifisadi? ccm!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Neno la faraja kwa kamanda wetu'...atakulinda aliyejuuu....atakulinda kwa mabawa yake....'
 
Tumesema mara kadhaa kwamba hawa watu ni wakatili kuliko hata KANU na ZANU PF. Tulikuwa hatujaona ukatili wao kwa sababu palikuwa hapajotokea chama cha kuwatisha kuwatoa madarakani. Bahati mbaya walio nayo ni kwamba watanzania wa leo hawatishiki tena na kwa hakikia hawana uwezo wa kuwaua watu wote wanaotaka mabadiliko katika nchi hii. Huu unyama wanaouendeleza utasaidia tu kuharakisha kuondoka kwao madarakani.

Tunamuombea huyo kamanda huko Shinyanga Mungu amuponye.

Kwa kweli huku tuanakoelekea ni kubaya sana sijui nchi ni ya namna gani? Lakini kwa maoni yangu ni hizo ni njia zao za kuachia madaraka mchana kweupee maana mfa maji haachi kutapatapa!!!

 
Next time wataarifuni Jeshi la Wananchi lije lipige patrol kwanza then mikutano ndio ifanyike hapo hakuta kkuwepo tena na fujo
 
Kazi ya magaidi ni kuua na si vinginevyo. ila kadri siku zinavyosogea ndivyo kuondoka kwao kunakaribia.
 
Back
Top Bottom