Shinyanga: Kiongozi wa CHADEMA aumizwa vibaya, akimbizwa hospitali

Huu unyama msishangae sana kadri siku zinavyozidi kwenda watafanya mengi sana ya kutisha mauaji na utekaji, na utesaji woote watakaokuwa against nao, mpaka hamtaamini.

Kamati ya usalama na makachero wa CDM,na Wale usalama wa taifa mlioupande wa CDM, kuweni makini sana, jk yuko na baraka zoote za haya yanayotokea na mauji yanakuja, hata maneno yake ya jana dodoma yanaonyesha kuwa anajua maji yameshamzidi unga ndio maana anaasema chama chetu kinachukiwa sana, na kusemwa kwamba uongozi ni wakununua tu, so anajua wananchi wengi hawakotayari kuona wizi unaendelezwa na ccm.

Sasa kwa sababu wao ccm wanajeshi la polisi, usalama wa taifa uchwaara, na matakukuru jina tu watafanya kila njia kuhakikisha wanabaki madarakani, Sisi tujilinde wenyewe hata ikibidi kwa kulipana posho tu, watatuuua sana mpaka 2015 hamtaamini kama hii ndio tanzania...

Mungu wetu fanya kitu juu ya hawa wezi, mashetani yasiyo na huruma, yatatokea mengi sana nduguzangu...ndio maana jk yuko kimya anzia mara, songea, morogoro, iringa, zanzibar, udini(uamsho) nakadhalika, Mungu ampe nguvu kamanda.... Pamoja tutashinda
 
ivi ccm mnatupeleka wapi? hiyo amani mnayoipigia kelele kila kukicha ndio hiyo.
 
aisee sijui tunaelekea wapi?tumefikia hatua hii ni masikitiko sana,get well soon kamanda
 
Huo ni ukatili mkubwa sana ambao haupaswi kuvumiliwa,ina mana hapo alipokuwa hawakuwepo makamanda wa CDM?!!,wewe noob nakujua sana ni Amir jeshi mkuu wa majeshi,sasa hebu tafuta taarifa kamili njoo nayo hapa ili kama kuna aina yoyote ile ya uonevu tuanze kuamuru makamanda ili utoe tamko kama amir jeshi mkuu ili tuanze kazi vijana wako tuko kamili gado.
 
Nampa pole kamanda wetu namwombea kwa Mungu apone haraka. Pia huku Mbozi kamanda mmoja amechomwa kisu, na hao jamaa,maana wamezidiwa sana katika kampeni za uchaguzi wa kata, hii imetokea katika kijiji cha ichesa-Mbozi.
 
hivi chadema akifa nani ndiyo tutasema basi maana kama ni kuchinjwa tumechinjwa sana kama ni kukaangwa tumekaangwa sana lakini tunaishia matamko tu..chadema tuanze kulipiza ingawa najua ndicho kitu wanachokitaka ccm..
 
nIMEWAHI KUKAA SHINYANGA HUYU CHARLES SHIGINOnamfahamu ni mtu katili sana hana ubinadamu hata kuongea kwake.Niliwahi kuishio naye ngokolo nilikuwa namuogopa sana na hata mali za dukani kwake alizokuwa anauza zote zilikuwa questionable.nashangaa leo eti ni kiongozi wa ccm,kama hali ndiyo hiyo cdm should be very careful.Mashishanga should exercise care and caution hasa wakati wa kuhesabu kura. Shigino ni katili asiye na ubinadamu shy towners they know outright
ukisikia chama tawala ogopa,washirikina,majambazi,mafisadi na hata watabiri ndo kazi ya ccm. Ccm ya mwalimu ilishatekwa na waovu na wahalifu wengine! Na hakuna wa kuchukuliwa sheria!
 
Sasa ametolewa theatre kupelekwa ICU. Vitu viwili mpaka sasa vinashangaza.

1. Pamoja na Polisi kupewa taarifa tangu saa 8 usiku hawajafika eneo la tukio, wala hakuna dalili za wao kufanya hivyo kwa ajili ya hatua zaidi.
2. Kuwepo kwa viongozi wawili senior wa CCM eneo la hospitali wakilazimisha kuingia chumbani kwa daktari aliyefanya operesheni. That was a bit unusual kwa hiyo ikaibua curiosity ya habari, waliposhtuka kuwa wamepigwa au wanapigwa picha, wakaanza kumsakama mwandishi aliyekuwepo eneo la tukio wakitaka kumnyang'anya kamera kwa nguvu.

Nitaendelea kuwajuza. Asante mod kwa kuweka breaking news kadri...

Haaaaa...haaaaa.haaaaaaa.haaaaa.haaaaa.haaaaa.haaaaa.haaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Sasa sikia Makene nimeshasema na mtoa Thread hii wa kwanza kabisa,kwamba akishathibitisha tukio zima atoe amri kam amir jeshi mkuu ili vijan tuingie msituni,kukabiliana na ufedhuli huu.

Halafu pili weka majina ya hao viongozi wa ccm wanaozengeazengea hapo hospitalini ili tule nao sahani moja,huu si wakati wa kuogopa majambazi.
 
Wamepanga mengi zaidi. Wamepanga kufanya mauaji siku ya kupiga kura. Katibu mwenezi Shigino ndiye anayeratibu uchafu huo. Kuna majambazi amekodi kutoka mwanza ili kuja kufanya unyama. We have to be carefuly and intelegent. We have to make each step of Charles shigino.
na huyo hawezi shughulikiwa kwa vile ni kada wa ccm. Kifupo huyo ni untouchable!
 
Aisee! kweli tukifanya mchezo watatumaliza vibaya sana, najiuliza, hivi hakuna namna ya kulifanya hili jambo likaweza kujadiliwa katika level ya kitaifa zaidi kuliko kuliandika tu kweye mitandao na likaishia kuwa la watu wachache?

Maana kama ni mtu wa kukemea haya mabo machafu angekuwa ni rais wa nchi, lakini yeye ndiyo walaaah. mpka leo hiii hajui kama Mwandosi aliisha uwawa, maana hajatoa tamko lolote.

Sasa haya mambo yanayo tokea si mchezo wa kuigiza, ni roho za watu zinapotea. mimi sioni kama inatosha kulala mikia kwenye mitandao tu, haitosaidia, viongozi wa upinzani wenye nia ya kweli na nchi hii waliweke hili jambo katika hali ambyo itajulikana kimataifa, na huu unafki wa kusema tanzania ni nchi ya amani ili kupata misaada na ona sasa tungesitisha, huu ni uongo na unafki, labda hali hii itawatisha kidogo
 
Narudia tena charles shigino ni janga la taifa huyu hana historia nzuri kiuadilifu hata hao majambazi ya kutoka mwanza ni rahisi sana yeye kuyapata kwani ni mwana mtandao wa vile.Mashishanga take care, ila kinachotupa moyo ni kwamba wan-shinyanga walishaamua bila kushurutishwa kwamba CDM ndiyo mkombozi wao
wengine tukiwaambia ccm ni janga hawaelewi,ona mpaka majambazi ni viongozi wa ccm. Kweli ccm ni zaidi ya kokoro!
 
Siku moja kabla ya kuanza kwa kampeni za udiwani, nilikuwa na majibishano ya hoja za kisiasa na katibu mwenezi bwana charles shigino. Nikamwambia, mwawaza hamna chenu. Wewe chale na wenzako hamna ushawishi wa kisiasa. Nikamwambia wazi kuwa, mbinu mtakazotumia kushawishi ni rushwa na vitisho ikiwa pamoja na kuua. Naamini jambo hili chafu limepangwa na charles shigino.

Nshigino ndio mwenezi wa Magamba, huyo jamaa anaweza kufanya lolote, alikuwa anasimamia ujenzi wa kituo cha mafuta cha bwana mdogo (mtoto wa nchi) hapo Shinyanga.

Mungu amlinde kamanda
 
Huyu GAKI alikuwa jambazi wa magari sana miaka ya 1990-1995 amepata pesa baada ya yeye na swahiba wake salumu mbuzi kupewa network wakati JK akitafuta kuingia ikulu, pia wamekiibia sana chama cha ushirika na kuwadhurumu mameneja wa shirecu.kifupi viongozi wa ccm shinyaga wote ni wafanyabiashara HARAMU utajiri wao ni questionable wana-shy town wanahitaji kufanya kweli si kupiga kura na kuondoka kama walivyofanya kwa maselle kumpa ujiko asiostahili.Uchaguzi wa mwawaza lazima uwafute machozi wana CDM kwa kupokwa ushindi wa marehemu shelembi.

Lu-ma-ga.Tunakupenda bado tunakuhitaji nenda taratibu usitoboe sana bado tuna muda mrefu humu ndani punguza spidi jamaa yangu,bado nahitaji mchango wako,isipokua umekua na spidi tangu hii thread imekuwa hewani,hoja zako nzuri nakuunga mkono lakini twende taratibu.punguza kidoogo.
 
Back
Top Bottom