Shinyanga: Kiongozi wa CHADEMA aumizwa vibaya, akimbizwa hospitali

Tumesema mara kadhaa kwamba hawa watu ni wakatili kuliko hata KANU na ZANU PF. Tulikuwa hatujaona ukatili wao kwa sababu palikuwa hapajotokea chama cha kuwatisha kuwatoa madarakani. Bahati mbaya walio nayo ni kwamba watanzania wa leo hawatishiki tena na kwa hakikia hawana uwezo wa kuwaua watu wote wanaotaka mabadiliko katika nchi hii. Huu unyama wanaouendeleza utasaidia tu kuharakisha kuondoka kwao madarakani.

Tunamuombea huyo kamanda huko Shinyanga Mungu amuponye.
kweli mkuu nimeanza kuziona rangi za ccm halisi. Na ni hatari kwa mustakabali wa taifa letu!
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Nimepigiwa simu saa 11 alfajiri, nikajaribu Kimpigia simu mkuu wa kituo cha polisi, lkn kwa maelezo yake alikuwa Hana taarifa kuhusu tukio Hilo.

Polisi hawajafanyia kazi taarifa tulizowapa mapema, kwani viongozi wa CCM wamedhamiria kuhakikisha wanatumia vijana wao kwenye kata hiyo ili wafanye mauaji na ndio wameanza kazi.

MUNGU amsaidie kamanda wangu apone haraka na kata tuichukue saa 4 asubuhi.
 
Kitila Mkumbo

Pia tunawaamini madaktari wetu wazalendo watapigania uhai wa mwenyekiti wetu, alichoongea mbowe ni sahihi kabisa na wengi wengi wetu tulikuwa tumejisahau sana kipengere hicho, kwa kweli bila kuwa na a defined transitional period mambo yatakuja kuwa hovyo sana. CCM hawako tayari kutoa madaraka kwa CDM kabisa na hilo limekuwa likisemwa na wana ccm wenyewe.

Haya mauaji ni mwanzo tu, lakini wamejiandaa kufanya mauaji ya kimbari kama watanzania hatutachukua HATUA MAPEMA.Tayari wametoa mafunzo kwa vijana wao.Kuna siku nilileta uzi humu kuwajulisha ya ndani niliyopewa na mwana CCM toka lazke zone kuwa" ccm wanajua fikas kuwa 2015 hawaingii madarakani, na jana kikwete kathibitisha hilo kwa sasa wanajaribu kutumia silaha yoyote wanyoona inafaa, hawana mkakati maalumu wa kichama.

DR.KITILA chonde chonde anzeni kujiandaa kisaikolojia kwani utawala ujao ni wenu, jueni ya kuwa mtaingia madarakani lakini pia msipokuwa makini roho za watu wengi zitapotea kwa sababu ccm HAWAKO TAYARI KUWAACHIENI NCHI YA ASALI
 
Last edited by a moderator:
Siasa gani za kutoana roho?kwel tumefika kubaya badala ya watu kushindana kwa hoja wanawatoa wenzao roho.ugua pole kamanda alutaaa continuaaaa.....
 
Siku moja kabla ya kuanza kwa kampeni za udiwani, nilikuwa na majibishano ya hoja za kisiasa na katibu mwenezi bwana charles shigino. Nikamwambia, mwawaza hamna chenu. Wewe chale na wenzako hamna ushawishi wa kisiasa. Nikamwambia wazi kuwa, mbinu mtakazotumia kushawishi ni rushwa na vitisho ikiwa pamoja na kuua. Naamini jambo hili chafu limepangwa na charles shigino.
 
Katika harakati hizi za mabadiliko za kutafuta ukombozi wa kweli Mbowe aliwahi kusema " MKIONA MIMI MBOWE NIMEPIGWA RISASI NIMEANGUKA CHINI, HAMLII!! UCHUWENI MWILI WANGU MUUSOGEZE PEMBENI NA MSONGE MBELI KUENDELEZA MAPAMBANO."

Kwa damu hii iliyomwagika ya Mwenyekiti wa CHADEMA tawi la Mwawaza katika Manispaa ya Shinyanga, ikawe chachu na kuongeza mukar kwa watanzania wote wapenda mabadiliko kuongeza mapambano ya kumuondoa huyu mkoloni mweusi ccm.

HAKIKA KWA DAMU HII TANZANIA MPYA ITAZALIWA.

Mungu ibariki Tanzania, Mungu mbariki MWENYEKITI HUYU aliyeumizwa vibaya muwekee mkono wako na umponye kabisa, arudi ktk hali yake kama mwanzo, tuweze kujumuika naye ktk harakati hizi za ukombozi wa taifa hili.
 
huu ni ugaidi. Hatujayazoea haya. tunaomba wenye dhama ya ulinzi watimize majukumu yao. mpaka sasa zipo dalili za uzembe kwa wenyedhamana hiyo ila hatujachoka kuwakumbusha..
 
Nimepigiwa simu saa 11 alfajiri,nikajaribu Kimpigia simu mkuu wa kituo cha polisi,lkn kwa maelezo yake alikuwa Hana taarifa kuhusu tukio Hilo.
Polisi hawajafanyia kazi taarifa tulizowapa mapema,kwani viongozi wa CCM wamedhamiria kuhakikisha wanatumia vijana wao kwenye kata hiyo ili wafanye mauaji,na ndio wameanza kazi.
MUNGU amsaidie kamanda wangu apone haraka na kata tuichukue saa 4 asubuhi.
kamanda kazeni buti ushindi mpaka upatikane, ccm wamepoteza credibility ya kuwaongoza watanzania. Poleni sana na mola amrudishie afya mapema!
 
Siku moja kabla ya kuanza kwa kampeni za udiwani, nilikuwa na majibishano ya hoja za kisiasa na katibu mwenezi bwana charles shigino. Nikamwambia, mwawaza hamna chenu. Wewe chale na wenzako hamna ushawishi wa kisiasa. Nikamwambia wazi kuwa, mbinu mtakazotumia kushawishi ni rushwa na vitisho ikiwa pamoja na kuua. Naamini jambo hili chafu limepangwa na charles shigino.

nIMEWAHI KUKAA SHINYANGA HUYU CHARLES SHIGINOnamfahamu ni mtu katili sana hana ubinadamu hata kuongea kwake.Niliwahi kuishio naye ngokolo nilikuwa namuogopa sana na hata mali za dukani kwake alizokuwa anauza zote zilikuwa questionable.nashangaa leo eti ni kiongozi wa ccm,kama hali ndiyo hiyo cdm should be very careful.Mashishanga should exercise care and caution hasa wakati wa kuhesabu kura. Shigino ni katili asiye na ubinadamu shy towners they know outright
 
Kama hali imefikia kuwa ukipingwa kwa hoja zakodhaifu solution ni mapanga! Sioni muskabali wa nchi hii kwa utawala huu!
 
Nimepigiwa simu saa 11 alfajiri,nikajaribu Kimpigia simu mkuu wa kituo cha polisi,lkn kwa maelezo yake alikuwa Hana taarifa kuhusu tukio Hilo.
Polisi hawajafanyia kazi taarifa tulizowapa mapema,kwani viongozi wa CCM wamedhamiria kuhakikisha wanatumia vijana wao kwenye kata hiyo ili wafanye mauaji,na ndio wameanza kazi.
MUNGU amsaidie kamanda wangu apone haraka na kata tuichukue saa 4 asubuhi.

Wamepanga mengi zaidi. Wamepanga kufanya mauaji siku ya kupiga kura. Katibu mwenezi Shigino ndiye anayeratibu uchafu huo. Kuna majambazi amekodi kutoka mwanza ili kuja kufanya unyama. We have to be carefuly and intelegent. We have to make each step of Charles shigino.
 
ss y jamani?hapo hospital pana ulinz kweli,maana kinachoonekana hapa wanataka kummaliza lord have mercy
 
Narudia tena charles shigino ni janga la taifa huyu hana historia nzuri kiuadilifu hata hao majambazi ya kutoka mwanza ni rahisi sana yeye kuyapata kwani ni mwana mtandao wa vile.Mashishanga take care, ila kinachotupa moyo ni kwamba wan-shinyanga walishaamua bila kushurutishwa kwamba CDM ndiyo mkombozi wao
 
lini tutasema basi imetosha kwa ccm kutuua?mkumbo watatumaliza hawa kama red indians-usa au aborigins- australia
 
Mungu amusaidie Kamanda apone haraka ili afanikiwe kuona ushindi wa Chadema ktk kata ya Mawaza

Narudia tena charles shigino ni janga la taifa huyu hana historia nzuri kiuadilifu hata hao majambazi ya kutoka mwanza ni rahisi sana yeye kuyapata kwani ni mwana mtandao wa vile.Mashishanga take care, ila kinachotupa moyo ni kwamba wan-shinyanga walishaamua bila kushurutishwa kwamba CDM ndiyo mkombozi wao

Mchezo unachezwa na GAKI na Gulam mtoto wa Meya
 
Mungu wangu! Nilifikiri ni polisi tu ndio waotumia vitu vyenye ncha kali. Kumbe hata CCM?
 
Chama chetu kinatuhumia kwa rushwa. Hivyo, "Vijana msipo kataa hili mbarikiwe".

Hizo nipamaoja na kasoro nyingi za ccm.
 
Mchezo unachezwa na GAKI na Gulam mtoto wa Meya

Huyu GAKI alikuwa jambazi wa magari sana miaka ya 1990-1995 amepata pesa baada ya yeye na swahiba wake salumu mbuzi kupewa network wakati JK akitafuta kuingia ikulu, pia wamekiibia sana chama cha ushirika na kuwadhurumu mameneja wa shirecu.

Kifupi viongozi wa CCM Shinyaga wote ni wafanyabiashara HARAMU utajiri wao ni questionable wana-shy town wanahitaji kufanya kweli si kupiga kura na kuondoka kama walivyofanya kwa maselle kumpa ujiko asiostahili. Uchaguzi wa mwawaza lazima uwafute machozi wana CDM kwa kupokwa ushindi wa marehemu shelembi.
 
Back
Top Bottom