shindalo la kucheza kiduku kwa wanachama wa JF

kadoda11

JF-Expert Member
Jan 6, 2011
21,453
20,712

MAHALI:SEHEMU YOYOTE YENYE ACCES YA INTERNET
MASHARTI YA KUJIUNGA
lazima uwe mwanachama wa jf kwa kipindi chote tangu JF inaanzishwa
lazima uwe ni mtu ambaye thread zako zinapata wachangiaji wengi hata kama thread hizo ni za kipuuzi
wanachama wa JF waliobobea katika kuchangia topic za siasa na mapenzi watapewa upendeleo maalum wa kujiunga na shindano
IMG_0540.JPG
 
Vp watoto wazuri watakuwepo hasa weupe?coz mzuka huwa unapanda sana nikiona vimwana wananishangilia!
 
MAHALI:SEHEMU YOYOTE YENYE ACCES YA INTERNET
MASHARTI YA KUJIUNGA
lazima uwe mwanachama wa jf kwa kipindi chote tangu JF inaanzishwa
lazima uwe ni mtu ambaye thread zako zinapata wachangiaji wengi hata kama thread hizo ni za kipuuzi
wanachama wa JF waliobobea katika kuchangia topic za siasa na mapenzi watapewa upendeleo maalum wa kujiunga na shindano
View attachment 39899

Kwa hizo sifa basi mshindani namba moja ulingoni atakuwa MKJJ
 
hii ingikuwa kwa madada wote wa jf wenye uwezo wa kuinua miguu kama kangarooo.
 
MAHALI:SEHEMU YOYOTE YENYE ACCES YA INTERNET
MASHARTI YA KUJIUNGA
lazima uwe mwanachama wa jf kwa kipindi chote tangu JF inaanzishwa
lazima uwe ni mtu ambaye thread zako zinapata wachangiaji wengi hata kama thread hizo ni za kipuuzi
wanachama wa JF waliobobea katika kuchangia topic za siasa na mapenzi watapewa upendeleo maalum wa kujiunga na shindano
View attachment 39899
Hapo sijui kama wengi wetu tutakuwa na vigezo!!
 
nilisahau kuwatangazia zawad kwa washindi........subirini kidogo niongee na wadhamini wa shindano.
 
Back
Top Bottom