chechekali
Member
- Oct 18, 2010
- 33
- 14
Dakika chache zilizopita serikali ya Kenya imefuta leseni ya kampuni ya 6969 ambayo imekuwa ikiendesha shindano la SMS ambapo watu wanatuma SMS kwa nambari hiyo na kuahidiwa kushinda milioni kadhaa za shilingi kila siku. Kila SMS inagharibu shilingi 69 za Kenya karibu dola moja. Hya mambo hata hapa kwetu tanznaia yapo...unaulizwa swali raisi ambalo kila mtu anaweza kul;ijibu ukipata unaylizwa tena jingine. lakin hawatoi vigezo kwa msingi wa:-
1:UMRI
2:KUTACHEZESHWA BAHATI NASIBU
3:IDADI YA WASHINDI PIA NI NDOGO SANA
Wadau hebu mawazo yenu katika hili
1:UMRI
2:KUTACHEZESHWA BAHATI NASIBU
3:IDADI YA WASHINDI PIA NI NDOGO SANA
Wadau hebu mawazo yenu katika hili