Shimo,tundu na tobo

Mwenzetu

JF-Expert Member
Dec 16, 2010
550
193
Wana JF naomba kujuzwa tofauti kati ya Shimo,tundu na tobo.............na je? Yanatumikaje maneno hayo?
 
Kwanza peleka jukwaa la lugha alafu soma jibu langu:
Shimo: ni uwazi lenye kua na volume. Maana yake distance kati ya mdomo wa uwazi na mwisho ya uwazi kuna distance fulani na upande wa mwisho unakua umezibwa: shimo la taka
Tundu: Ni uwazi ambao distance kati ya mdomo na mwisho wa uwazi hakuna distance kubwa: Tundu la choo
Tobo: ni uwazi mdogo ambao una mpana mdogo na mara nyingi hua sio natural: tobo la nguo (hapa unaweza kulinganisha na neno KUTOBOA).
Ila tofauti kati ya hayo maneno inategemea na maeneo unapo yatumia.
Kuna wakati tunaongea kiswahili safi bila kufata haya: tundu la sindano
 
Ni wakati mmoja tu unapoweza kutumia maneno yote hayo kuelezea kitu hichohicho...heheheheheh!!!
 
Back
Top Bottom