shimo mnazi mmoja kuelekea kamata....

killo

JF-Expert Member
Jul 13, 2008
401
94
hi wanajamii,

hebu nisaidieni labda niliona vibaya... baada tu ya taa za kiongozea magari kama vile kuna shimo kubwa la squre.. nimekuta breakdown na landcruiser

mazingira ya hivyo vitu vitatu ndo yalionipa mtazamoo huu
 
Labda niwe kilaza yaani nimeahindwa kukuelewa, ni mtamano gani huo unaouhusisha na hilo shimo? Ina maana gari hilo lililiingia hilo shimo na kusababisha hiyo break down kuja kuliondoa barabarani? Thread yako ina maswali mengi kuliko majibu maana hata sijaielewa kama ni taarifa au angalizo yaani full utata.
 
mkuu nilikuwa naendesha gari hivyo sikuweza kuangalia vizuri na nilichoona kwa haraka haraka ni kama nilivyoviadika hapo juu.... samahani kama nimekukwaza.... hope u not a blonde ei..?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom