Shime wananchi tusifanye makosa mgomo wa ma-dr ndio mtaji wetu

BORNCV

JF-Expert Member
Oct 11, 2011
242
46
Huu mgomo ndio fulsa muhimu kuitumia kuung'oa utawala wa ccm madarakani tuli-miss uliopita sasa tusirudie tena makosa yale, nimefurahi wao kwenda mahakamani hapo ndio moto utawaka zaidi. Huu ni wakati wetu.
 
Back
Top Bottom