Elections 2010 Shime mwana mapinduzi --- elimisha wapiga kura wa vijijini wafanye maamuzi sahihi

Ntemi Kazwile

JF-Expert Member
May 14, 2010
2,182
307
Ndungu mwana JF naomba kama kweli unataka mabadiliko yatokee kupitia sanduku la kura mwaka huu, nakuomba ufanye juu chini angalau kufikia tarehe 31 October 2010 uwe umewabadirisha wapiga kura angalau watano kutoka maeneo ya vijijini unakotoka ili wapige kura ya mabadiriko.. Changamoto iliyopo ya kuleta mabadiriko ni kura za watu wenye uelewa mdogo, hasa wale wa vijijini ambao wanadanganywa kwa uraisi na sms za CCM.
Wape mwanga na utakuwa umechangia mabadiriko ya kweli.

Shime wana wa taifa hili siku zimekwisha pigeni kampeni kwa ajiri ya shujaa wetu

Slaa for President 2010
 
Back
Top Bottom