Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 92,227
- 113,584
- Thread starter
- #21
pepeaneni tu na upande wa kanga, nikisikia acid nakimbilia kikoti changu.
Hahahahahaaaaaaaaaa super funny.
pepeaneni tu na upande wa kanga, nikisikia acid nakimbilia kikoti changu.
Yeahhh. . .Sidhani kama kuna anayeiba wala kuibwa.
The whole thing is just a big 'ol joke.
But that doesn't mean you shouldn't be aware of your surroundings.
Just be vigilant coz you never know....and it's not like it's unheard of...people do really get acid tossed at them.
duu,natamani ningekuwepo,ningeyakata kisawa sawa
Hata hapo kwako panatosha kuyakata. . .jipe raha!!
Nipo KIM KARDASH
Hahaahaha. . . siunajua wewe ndo somo wangu. . .
Wewe unaweza kuzungusha nyonga kama Shilole?
Najua mwaya..naona siku hizi na wewe umekua fundi ati,maana wayaweza kiasi waweza mfanya bwana aahidi kukujengea meli badala ya nyumba..!kiuno kina mambo yake bwana.
haya mauno ndo zaidi maana mmmmmmh