Shilole: Bila pombe nakuwa goigoi faragha

Nyundo Kavu

Senior Member
Dec 6, 2011
186
85
MSANII wa filamu, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ ametoa kali ya mwaka na kueleza kuwa, kwa aibu aliyonayo awapo faragha na mwanume ni lazima awe amekunywa pombe la sivyo mambo hayawezi kwenda sawa.
Akizungumza na Ijumaa juzi kuhusiana na maisha yake ya kimapenzi, Shilole alisema anafanya hivyo akijua kuwa mbali na kumuondolea aibu pia pombe humpa stimu ya kimahaba na kumfanya awe mchangamfu kwa mpenzi wake.
“Katika mapenzi pombe inanisaidia sana kwani najijua nilivyo na aibu, bila kunywa pombe wala sipati stimu ya mapenzi na hata nikiwa na mwanaume anaweza kuniona labda ni mshamba wa mambo hayo kumbe ni aibu tu,”alisema msanii huyo.
Shilole ni msanii ambaye katika maisha yake amekuwa akiweka mbele vilevi vya aina mbalimbali ambapo katika siku za hivi karibuni aliwahi kunaswa akitafuna mirungi.

Shilole: Bila pombe nakuwa goigoi faragha - Global Publishers
 
Huyo nae c cku nyingi ataanza kutumia na unga mana pombe itafikia muda haitamsaidia so atahitaji kitu chenye nguvu zaid ajitahid zaid
 
kwanza nampa pole huyu msichana mwezangu alivyo toka kijijini alikuwa msichana mzuri amefika mjini amekuwaa limbukeni wa maisha na hanasa juzi tu wamemkosa kosa kuliwa uroda na vijana kibao
 
Huyu bin -ti
anapenda sana,
or ananunua kuandikwa
front page za udaku,
mara nimemtema
cjui mwimbaji flani,
mara papaaa kikojozi
anansingizia sna
uhusiano nae,
mara nna mimba
ya serenget boy
flan. Mara stumii
mchina hili ni kalio
langu orijno anamatatizo
lazma.
Hana soko
naona anasaka kwa ngv zote,
 
Huyu bin -ti
anapenda sana,
or ananunua kuandikwa
front page za udaku,
mara nimemtema
cjui mwimbaji flani,
mara papaaa kikojozi
anansingizia sna
uhusiano nae,
mara nna mimba
ya serenget boy
flan. Mara stumii
mchina hili ni kalio
langu orijno anamatatizo
lazma.
Hana soko
naona anasakaanatoka kwa ngv zote,[/anatoa hela kwa wandishi atokekwenye gazeti QUOTE]
 
Sibure hata alibakwa.., halafu akionge na ijumaa ya feb 10-16 anasema kitu ambacho hatokisahau ni kubakwa kwake.. Mwanamke anayejisifia kwenye pombe ni mpumbaavu tu., na ilibidi kiwe ni siri yake kwani ni aibu sana mwanamkke afikie stage ya kuskia raha hadi awe amekunywa.., inamaana huyu dem akilewa zinapanda na yeyote anaweza kumchezea...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom