Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Shilole/AT/Offside Trick

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Nyani Ngabu, Mar 16, 2012.

 1. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #1
  Mar 16, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 65,156
  Likes Received: 16,132
  Trophy Points: 280
  Shilole sijui kawaokota wapi hawa wazungusha nyonga....  Mwanne angekuwepo hapo ingenoga zaidi...  Huyu mchuchu wa Offside Trick kidogo yuko poa...

   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #2
  Mar 16, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,152
  Likes Received: 177
  Trophy Points: 145
  dah, nokia kitochi inaninyima utamu!
   
 3. Yegomasika

  Yegomasika JF-Expert Member

  #3
  Mar 16, 2012
  Joined: Mar 21, 2009
  Messages: 3,275
  Likes Received: 596
  Trophy Points: 280
  Hivi hawa wadada wanawalipa bei gani, kwani shughuli wanayoifanya hapo ni nzito...
   
 4. Mtalingolo

  Mtalingolo JF-Expert Member

  #4
  Mar 16, 2012
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 2,168
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Ndo matatizo yakutumia TNM, Nakosa uhondo...
   
 5. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #5
  Mar 16, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 65,156
  Likes Received: 16,132
  Trophy Points: 280
  Hahahahaaaa hata mimi nilijiuliza hilo.

  Halafu sijui wanawapata wapi tu.
   
 6. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #6
  Mar 16, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,404
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  nyonga ni nini?
   
 7. B'REAL

  B'REAL JF-Expert Member

  #7
  Mar 16, 2012
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 3,040
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  kwenyee bed wako vizuriii hivyooo?unawezaa shangaa unaviswaaa piopiii...semaaa wotee kiboko ilaa wa siloleee doh!!!salaaaaaaaaa,wa AT walikimbiaa shulee bado wadogoo
   
 8. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #8
  Mar 16, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 65,156
  Likes Received: 16,132
  Trophy Points: 280
  Hips...
   
 9. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #9
  Mar 16, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,534
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  nyonga zungusha kiono chako kiaina ndio nyonga..

  kaulize shilole jinsi alivyo hasa hapo juu she kill me yaani acha tu..
   
 10. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #10
  Mar 16, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 24,071
  Likes Received: 566
  Trophy Points: 280
  Kanga moja ndembe ndembe nipo na mtoto mzuri shiloleee---qchillah
   
 11. C.T.U

  C.T.U JF-Expert Member

  #11
  Mar 16, 2012
  Joined: Jun 1, 2011
  Messages: 4,665
  Likes Received: 1,000
  Trophy Points: 280
  hao ni wale machangudoa waliokuwa wanajiuza kwenye ma gheto kinondoni na magomeni sasa hivi wamekuja na njia mpya ya kufanya biashara yao na kutangaza bidhaa zao
  Wanafanya ukahaba hao kwa hilo kundi la kucheza kuna kundi linaitwa kitu tigo kiti k kitu kimba wanakwambia LAKI SI PESA utafikiri wao wanahiyo laki mifukoni mwao waliibuliwa na maimatha akawa ndio coordinator wao anawatafutia wanaume
  sasa hivi sijui kundi liko chini ya nani
  sshilole huyo mwenyewe alikuwa mmoja kati ya wauzaji wa ghetto alivyokimbia kwa mumewe huko tabora VIJIJINI

  Hapa nakuacha kama movie ya starship troopers wanakwambia
  do you wanna know more??
   
 12. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #12
  Mar 16, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 65,156
  Likes Received: 16,132
  Trophy Points: 280
  Shilole moto eeeh?
   
 13. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #13
  Mar 16, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,511
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  ile TECNO umehonga??si ilikua afadhali kidogo??au..
   
 14. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #14
  Mar 16, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,511
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  teheee...ngoja wenye nazo watakutumia picha!
   
Loading...