Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

shillingi MIA imeenda wapi?

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Mujumba, May 7, 2012.

 1. Mujumba

  Mujumba JF-Expert Member

  #1
  May 7, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 854
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  [h=6]Nguo inauzwa sh 10,000 we huna pesa, ukaamua kukopa kwa dada yako sh 5000 na kwa kaka sh
  5000 ukapata sh 10,000. Ukaenda ukapatana na kununua kwa sh 9,700 ukarudishiwa sh 300. Ukaamua kupunguza deni. Ukatoa sh 100 kwa kaka ... na sh 100 kwa dada, ukabaki na sh 100. Hivyo ukawa unadeni kwa kaka 4900 na kwa dada 4900, ukijumlisha unapata 9800, ukiongeza na ile 100 ya
  kwako inakua 9,900. JE 100 IMEKWENDA WAPI??[/h]
   
 2. NingaR

  NingaR JF-Expert Member

  #2
  May 7, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 2,827
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  SASA SI UMEWALIPA 100 KILA MMOJA SO WANAKUDAI 9,800 SIO 10,00O TENA SO HATA UKIPATA 10,000 UTAWALIPA 9,800 AMBAPO UTABAKIWA NA 200 UKIJUMLISHA NA 100 ULIYOBAKIWA NAYO BAADA YA KUWALIPA INAKUA 300 AMBAYO NDIO PUNGUZO ULILOPEWA DUKANI. KAMA HUJAELEWA UlizA¬ô
   
 3. Nish

  Nish JF-Expert Member

  #3
  May 7, 2012
  Joined: Jul 22, 2011
  Messages: 732
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Itakua imedondoka!
   
 4. rfjt

  rfjt Senior Member

  #4
  May 7, 2012
  Joined: Jun 29, 2011
  Messages: 180
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  -5000+1= -4900 sawa!
  -5000+1= -4900 sawa!
  -9800+1= -9900 si sawa!
  -9800+1= -9700 SAWA!!!
   
 5. EBENEZA MT

  EBENEZA MT JF-Expert Member

  #5
  May 7, 2012
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 264
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  9800 hili ndilo deni hauwezi ukajumlisha 100 coz 100 imehesabiwa kwenye. 9800-100=9700 tumia toa si jumlisha.
   
 6. ngulinho

  ngulinho JF-Expert Member

  #6
  May 7, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 336
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  loading..........

  loading failed!
   
 7. SIMBA WA TARANGA

  SIMBA WA TARANGA JF-Expert Member

  #7
  May 7, 2012
  Joined: Feb 14, 2012
  Messages: 992
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tumieni MAGAZIJUTO
   
 8. roja24

  roja24 Senior Member

  #8
  May 8, 2012
  Joined: Feb 7, 2012
  Messages: 130
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  mmmh. kazi kwenu St. Kayumba/Kata
   
 9. Mujumba

  Mujumba JF-Expert Member

  #9
  May 9, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 854
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  jaribu kaka
   
 10. S

  Skype JF-Expert Member

  #10
  May 9, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 7,286
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Hili swali limekua kero sasa, kila uchao watu wakilala wakiamka wanaedit maneno ili waonekane wao nondo kumbe wapi, ni kopi pest kwa kwenda mbele. Tunashukuru kwa hii tabia.
   
 11. CHIHAYA

  CHIHAYA Senior Member

  #11
  May 10, 2012
  Joined: Mar 12, 2012
  Messages: 101
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kumbuka wengine ndo wanajiunga hapa leo na wengine huwa wamezoea majukwa fulani hili ndo wanafungua leo mkulu!
   
 12. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #12
  May 10, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,887
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 135


  10,000-300=9,700/2=4,850+100=4,950
  deni kwa mtu mmoja. Kwa watu wawili
  9,900(4,950*2)+100(uliyonayo
  mkonon)=10,000.
  Umeridhika?
   
 13. Remote

  Remote JF-Expert Member

  #13
  May 10, 2012
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 13,771
  Likes Received: 607
  Trophy Points: 280
  Then what?
   
Loading...