Shilingi yetu mbona inaporomoka sana!

MTWA

JF-Expert Member
Aug 5, 2009
1,166
166
Tangu juzi naangalia pesa yetu inaporomoka kwa kiasi kikubwa sana, nilitaka kupata dolla lakini imetoka 1650 na jana usiku nakuta imeanzia 1685 hadi 1704 halafu ni ndani ya mda mfupi inafluctuate tu. HIVI NI KWA NINI AU NDO TUNAIUZA NCHI???
 
Shilingi imeporomoka kwasababu ya mfumuko wa bei. Mfumuko wa bei unatokana na gharama za dishati ya mafuta na umeme. Upungufu wa nishati unatokana na sera mbaya za serikali.

Jibu lako: Shilingi inaporomoka kwasababu ya sera mbaya za serikali
 
Naweza nika kuonesha biashara pekee itakayoweza kukuingizia kipato halali....bila kuzingatia kushuka thamani ya tsh...kwan ni biashara pekee itakayo kuingizia kipato kwa viwango ya dollar....so hutowaza tena kuhusu hali ya uchumi wa nchi yako.....tembelea Rolf Kipp - Prosperity Central Opportunity

Thanx & goodluck !!!
 
Back
Top Bottom