Shilingi ya gain ghafla

Ntemi Kazwile

JF-Expert Member
May 14, 2010
2,182
307
Baada ya wiki kadhaa ya kuporomoka kwa thamani ya shilingi dhidi ya dollar ya Marekani ghafla imeanza kupanda... jana ilifikia hadi US$1 = Tshs 1,520 leo ghafla imepanda thamani na ku-gain kwa takribani shilingi 100 na sasa iko kwenye range za 1,430... wadau nini kimetokea na tutegemee nini?? Yeyote mwenye kujua sababu tafadhali atujuze.
 
Is this True????
 
No no nooo, Mkuu hapana kabisa, hakuna kupanda kwa stail hiyo kwa nchi kama TZ

Uzoefu ni kwamba kila mwisho wa mwezi tofauti ya exchange rate huwa inabadilika in favour of Sh. kwa sababu tu watu (hasa wafanyakazi wa nje) wanapata mishahara yao hivyo kunakuwa na ongezeko la dola kwenye circulation, hivyo kufanya soko liwe 'flooded' na dola.

Kuanzia tarehu 10 next month itarudi pale pale, keep following it up...

Mpaka waache ufisadi na waongeze uwajibikaji ndio itapanda, otherwise ... forget it!
 
Mzee madafu yatazidi kuporomoka baada ya wahisani kukosa imani na JK. Wameona maneno mengi vitendo hamna. Kwa sasa pamoja na madafu yetu yanaathiriwa na inbalance ya import-export (yaani tunanunua nje zaidi ya sisi kuuza nje) pamoja na uzalishaji mdogo lakini siku hizi za karibuni shilingi inashuka kwa sababu ya financial risks na uncertainities zinazosababishwa na speculation katika uchumi baada ya serikali kupigwa chini na wadau katika kuchangia bajeti itakayo somwa 17 June.

Nakumbuka, wakati Rais Mandela wakati ule alipokuwa kazini, watu waliona Ambulance inatoka ikulu kumpeleka mzee hospitali, kesho yake thamani ya Rand iliporomoka vibaya sana.
 
No no nooo, Mkuu hapana kabisa, hakuna kupanda kwa stail hiyo kwa nchi kama TZ

Uzoefu ni kwamba kila mwisho wa mwezi tofauti ya exchange rate huwa inabadilika in favour of Sh. kwa sababu tu watu (hasa wafanyakazi wa nje) wanapata mishahara yao hivyo kunakuwa na ongezeko la dola kwenye circulation, hivyo kufanya soko liwe 'flooded' na dola.

Kuanzia tarehu 10 next month itarudi pale pale, keep following it up...

Mpaka waache ufisadi na waongeze uwajibikaji ndio itapanda, otherwise ... forget it!

Kaka,
Hali ndiyo hiyo, jana nimeuza US kwa rate ya 1,520. Leo hii mtu wa bank amenipigia kuuliza kama bado nina dolla na rate ya leo ilikuwa 1,430... na nimetoka JNIA sasa hivi na highest rate pale airport leo ni 1,422 (jana CBA kwenye board walikuwa na 1,510).... soo interesting
 
1430 still bad mkuu hapa unaitaji mdafu mengi kununua vitu
 
kupanda kwa shilling yetu si kuimarika kwa uchumi bali ni BOT wemeingiza fedha za kigeni za ziada kwenye mzunguko, kwani taifa letu bado alina mfumo wa kuacha fedha zitawale bei zenyewe yaani free float, kwahiyo tumefurai kitendo cha BOT kuingilia kati lakini tunasikitishwa kwa wao kutoingilia mapema zaidi
 
Hizi indicator za wakoloni zitawaumiza kichwa bure..better stick in production and satisfy our own market with our own quality goods. Hakuna njia ya mkato to success.
 
Spot On!!!

Tanzania tungeweza kujitoshereza kwa mfano edible oil kama serikali ingaamua ku-support hizi micro industries kwa kuwawezesha kifedha badala ya kuendeleza bla bla.. pembejeo bila soko la uhakika ni maigizo. Ukisuport viwanda vidogo vidogo na ku-restrict import ya bidhaa unayopromot utatengeneza soko ambalo litawawezesha wakulima kulima kwa tija na kuwa na uchumi endelevu usiotegemea pesa za kigeni kwa kila kitu.
 
Nadhani inabidi wachumi watueleze ila kwa ufahamu mdogo nilionao sioni kama shilingi yetu ina nafasi ya kuapanda thamani. sana sana kinachotea dola au euro ndo zimeshuka thamani na sio kweli kuwa shilingi imepanda thamani.

Ni kama mwanafuzi mwenye akili sana aingie kufanya mtihani ghafla ajisikie vibaya atoke nje ya mtihani huku amefanya swali 1ja tu. then wengine wamefanya yote. sasa je hawa wengine wana haki ya kujisifu kuwa wamemzidi yule mwanafunzi anayekuwa wa kwanza???

It is obvoius sababu na vigezo vya shilingi yetu kushuka thamani viko vingi zaidi ya vigezo au sababu za thamani yake kupanda sio tu dhidi ya dola lakini. hata dhidi ya Ksh,
 
Code:
Au 1750!!!!
Code:
Nimepita sasa hivi kwenye BRIUDICHENJI ya hapa Benjamin Mkapa Towers, Dolari 1 ni madafu 1520!
Kesho utasikia 1650. Haki ya nani, tunayakaribia Bora maisha aliyoyatabiri Muungwana wakati anaomba "KULA!" mwaka 2005
 
Baada ya wiki kadhaa ya kuporomoka kwa thamani ya shilingi dhidi ya dollar ya Marekani ghafla imeanza kupanda... jana ilifikia hadi US$1 = Tshs 1,520 leo ghafla imepanda thamani na ku-gain kwa takribani shilingi 100 na sasa iko kwenye range za 1,430... wadau nini kimetokea na tutegemee nini?? Yeyote mwenye kujua sababu tafadhali atujuze.

Jana nimeona $1= Tshs 1,350. Nikafikiri naota
 
Back
Top Bottom