Shikilia Mbavu Zako Vizuri..

Babuji

Senior Member
Nov 27, 2008
197
3
3823.jpg


3822.jpg


Picha zaidi Gonga hapa www.Nifahamishe.com
 
Duh! Mungu hamtupi mja wake, wamewindwa sasa zamu ya kuwinda!!
 
Hapo lazima usali sala zote unazozijua na kumuachia mungu yatakayotokea

Ukifikiria kwamba bunduki yenyewe ipo mbali karibu na simba alipo mpaka uikaribie ushageuzwa asusa:):):)
 
Back
Top Bottom