Shikamoon wakubwa zangu.

Perry

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
10,043
2,000
Najckia faraja kuwa mmoja wenu.naomben ushirikiano wenu.
 
Karibu sana jamvini, huyo hapo anaitwa Mpevu, wengine wanakuja!
 
Jf pasome kwanza, usikurupuke kuhoji au ku support, utkimbia mwenyewe. Kikubwa zaidi usije ukawa 'under cover agent', utbainika mapema kabla hujastuka!
 
asante kwa kunitahadharisha.
 
sawa umeniamkia ila sijajua ka nimekuzidi au umenizidi,sio ishu mkuu karibu sana ila panachangamoto zake hapa muulize mohammed shossi
 
mwez wa tatu natimza miaka 22 so nljhc mayb ni mdogo sana ndo maana nkaanua kutoa shkamoo ya ujumla,ila thanx kwa kunkarbsha mikatabafeki.
 
Marahaba, karibu sana hapa kijijini JF kuna mwanajf amekutahadharisha na swala la kukurupuka nami natilia mkazo hapo, all the best.
 
asante da lily,ntaufanyia kaz ushaur wako na wa wana jf wengne!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom