Ze burner
JF-Expert Member
- Jan 5, 2011
- 514
- 83
mzee tukumbuke kuwa language is arbitrary. kama wao walitumia kwa tafsiri ambayo kwa sasa haipendezi, wazee wetu wameamua kulitumia neno hilo likiwa na heshima ya hali ya juu. na yapo maneno mengi ya aina hii tena mengine ni matusi kwa jamii nyengine ila yanatumika.Na sisi shikamoo tunaing'ang'ania ya nini? Inamaanisha, niko chini ya miguu yako. Salamu ya kitumwa! Lakini wazee usipowaamkia patachimbika!! Tubadilike waswahili!