"Shikamoo" baina ya wanandoa: Je kuna umuhimu?

Mi kama nimekudhidi umri unaniamkia hivyo hapo hapo unapokea kibao kisha nakwambia marhaba lazima unipe heshima yangu kama mmeo lol

tumepishana 6 yrs nimpe shikamoo?...ungekuwa wangu wewe inaonekana kila kukicha ingekuwa ngumi mkononi...lol
 
tumepishana 6 yrs nimpe shikamoo?...ungekuwa wangu wewe inaonekana kila kukicha ingekuwa ngumi mkononi...lol

sasa hutaki honey? mi mkubwa kwako alafu hutaki kunipa haki yangu...kisa tunajiexpress ahaaaa hii no! mi kwangu makofi tu.
Sema Nyamayao upo likizo nn sikuoni mama.
 
sasa hutaki honey? mi mkubwa kwako alafu hutaki kunipa haki yangu...kisa tunajiexpress ahaaaa hii no! mi kwangu makofi tu.
Sema Nyamayao upo likizo nn sikuoni mama.

shikamoo nayo ni haki yako ma love?...haki yako mukitanda....lol... swity majukumu/kazi zinanizidi umri but tupo pamoja.
 
shikamoo nayo ni haki yako ma love?...haki yako mukitanda....lol... swity majukumu/kazi zinanizidi umri but tupo pamoja.

haya mama karibu tena.
Yes nayo si salaam au unataka uniambia hata kunisalimia sio haki yangu ni kimya kimya tu?
 
haya mama karibu tena.
Yes nayo si salaam au unataka uniambia hata kunisalimia sio haki yangu ni kimya kimya tu?

ndio maana nakuambia "mambo babaa, za utokako babaa, kwema babaa"...kwenye shikamoo utanisamehe love.
 
ndio maana nakuambia "mambo babaa, za utokako babaa, kwema babaa"...kwenye shikamoo utanisamehe love.

kwani mama ukisema shikamoo utapungukiwa na nn?
Kwa hiyo unaona bora umpe shikamoo mtu baki tu aliyekuzidi umri wa nje kuliko mie mmeo aaaaaahh hii hapana...na mimi nisalimie tena kwa unyenyekevu hata usiku tulikuwa pamoja.
 
tatizo linakuja na wewe mwenyewe sio mtu wa shikamoo love, we zako ni "mambo mami", tena saa zingine unaniambia kabisa "mambo nyamayao", "umeshindaje nyamayao"....nikauambie nimeshinda salama "shikamoo"?...haya love kuanzia leo jioni nitakupa shikamoo yako, sawa?
 
Nyamayao mama hapo nimekubali.
Nikikwambia mambo vp wewe unajibu safi usiseme poa wewe sema safi kisha shikamoo baba. Hapo sawa.
 
Hapa naona mazungumzo yote yamelenga kwenye mume akimzidi umri mke.
Je mke akiwa amemzidi umri mume....naye aamkiwe kila siku...?
 
C lazima jamani kwani mkishaoana mnakuwa sawa. ndo mana mnadiscuss na kupanga pamoja kinachohitajika ni heshima na upendo baina yenu nyote
 
we Preta wewe, umwamkie mumeo unataka kumnyima haki yake?

weee.......kwanza mimi huwa nina aina mbalimbali za salamu kutegemea na mood.....kwa hiyo itategemea......
japo tumepishana kishkaji lakini simwambii shikamoo....piga ua.....kwanza hata yeye atajua kuna shida......
 
Back
Top Bottom