"Shikamoo" baina ya wanandoa: Je kuna umuhimu?

Marhaba! Hujambo ww?

...ee, mi' sijambo.

Na je kama mke ndiyo kamzidi umri bado amwamkie mumewe?
Nadhani "shikamoo" kama salamu ina maana ya kumnyeyekea mtu... kuonyesha kuna ambaye yuko juu ya mwingine - kiumri, kicheo, n.k. Sasa kwenye ndoa kuna hiyo hierachy? au kwa vile imani nyingine zinasema mume ni kichwa?
Inapendeza heshima iwe ya hiari na siyo ya kulazimisha.. na kwa wanandoa salamu yenye kuonyesha mapenzi ni bora zaidi kuliko ile yenye kuonyesha matabaka.

...umegundua siku hizi unaweza kupewa shikamoo na kufuatiwa na kuombwa shilingi mia ya daladala?

...au kina dada wanatumia "shikamoo" kuwafungisha breki wanaume wakware?
 
Habari zenu wana Jf,
Kuna hili jambo huwa najiuliza, sijapata jibu. Labda wana ndoa wanaweza kusaidia.
Je kuna umuhimu wa wanandoa au wapenzi kumpa shikamoo mwenzake aliyemzidi umri?

Umenikumbusha ile thread ambayo wanandoa watarajiwa wana tofauti ya umri kwa miaka 25; Mke mtarajiwa 25 yrs na mume mtarajiwa 50 years! Kwa hali kama hiyo huna haki ya kumnyima shikamoo mumeo. Hata hivyo hayo yote yategemeana na mahusiano yenu kama wanandoa; ikiwa wanandoa wanaichukulia mke/mume ni sawa na ndugu basi shikamoo ni lazima kwa mkubwa, ila kama wanachukulia ndoa yao kama urafikibasi hakuna haja ya shikamoo na marahaba.
 
wakati nakua nilikuwa namwona mama akimpa shikamoo baba na nilipouliza kwa nini (awali) nikaelezwa tofauti ya miaka yao yaani baba ni mkubwa kuliko mama.
Ngoma ilianzwa kuchezwa nilipooa kwani niliambiwa kwa nini nipewe shikamoo huku ananijua kila kitu??? yaani mzee mzima nishasahau kuhusu mambo ya shikamoo na akinipa shikamoo tu najua kuna mzinga bab kubwa unanisubiria hehehe.

ah haya mambo ya heshima ktk ndoa yananikumbusha umuhimu wa unyago ambapo kuna wadau wanadiriki kufananisha unyago na chicken parties (haha). Wizi mtupu
 
Kuna wanaume wanapenda shikamo by default,mpenzi wangu anapenda shikamoo kuliko maelezo,na ukitaka mkorofishane usimwamkie.
 
Siku moja nilikaa bar moja kitaa napata moja moto moja baridi pembeni yangu alikuwepo mzee mmoja nae anakunywa kumbe kuna muhudumu anamtaka yule muhudumu akaja na kumsalimia shikamoo mzee akakataa akasema sema mambo vp? Shikamoo ya nn bana
 
Nimeshasikia hili lipo, lakini kwa maoni yangu mke na mume hata kama kuna gap kubwa kiumri kati yao haipendezi mmoja kumpa shikamoo mwingine.
Why not.
Shikamoo inapunguza au kuongeza nini kwenye mapenzi yenu ninyi kama Mume na Mke.
HAKUNA uhusiano kati ya Shikamoo na Mapenzi.
 
Moja ya misingi ya Mahusiano ni KUHESHIMIANA.

Kama shikamoo inakushinda, unaona ni mzigo.

Je HESHIMA nyingine utaweza kumpa????????????

Shikamoo ni THERMOMETER ya Heshima.
 
Moja ya misingi ya Mahusiano ni KUHESHIMIANA.

Kama shikamoo inakushinda, unaona ni mzigo.

Je HESHIMA nyingine utaweza kumpa????????????

Shikamoo ni THERMOMETER ya Heshima.
Unapenda shikamoo ww, mkeo unalala naye kitanda kimoja kila kitu anakijua kwako. Bado tu unataka shikamoo. Mie naona kama utumwa kwa mke kumsalimia mume.
Hizo heshima nyingine ni muhimu kuliko shikamoo.
 
wala hainogi, mie zangu ni mambo, kwema? za utokako...inatosha.

Mi kama nimekudhidi umri unaniamkia hivyo hapo hapo unapokea kibao kisha nakwambia marhaba lazima unipe heshima yangu kama mmeo lol
 
Hivi ukiamka ukamwambia mkeo ama mumeo "Morning" si lazima ukiongezea vle vibwangizo vinginevyo...kma Darling,Sweety, Honye, D nk haitoshi.
Binanfsi huwa sipendi neno Shikamoo...
 
...hivi kuna ubaya gani kuamkiwa jamani?

...utawasikia wenyewe "unanipa shikamoo unata kuninyima nini", /QUOTE]



Hii safi kabisa..... mmmmm aisee wengine unampa shikamoo anajibu 'shika wewe mara saba'

Duh lakini kumpa shikamoo mume au mpenzi haibambi...kikenya hichoooo.. hebu angalia hii ' shikamoo honey' mmmmm haiendani kabisa
 
Unapenda shikamoo ww, mkeo unalala naye kitanda kimoja kila kitu anakijua kwako. Bado tu unataka shikamoo. Mie naona kama utumwa kwa mke kumsalimia mume.
Hizo heshima nyingine ni muhimu kuliko shikamoo.
Wengine sisi bila ya Shikamoo,HAISIMAMI.
 
Wengine sisi bila ya Shikamoo,HAISIMAMI.
I mean it.Unahisi kudharaulika,na once hiyo hisia ikishakuwepo kwenye ubongo wako.Piga uwa galagaza,zaidi UTANITOA NGOZI MTOTO WA MWANAMKE MWENZIO BUREEEE.

Hili suala la shikamoo ni muhimu kusikiliza matakwa ya mwenzio, kama "ANAPENDA MPE" just like..........
 
Wengine sisi bila ya Shikamoo,HAISIMAMI.
hehehehe
hiyo inatokana na athari za kujichua mfululizo shekhe.
yaani ile sauti ya kike ahsubuhi inakustua kiasi kwamba unasisimka mpaka veins zote zinakakamaa (ndo unakoita kusimama). Kuna jamaa alikuwa mwathirika wa ngono ya kujipimia (ngunga) basi kila akiona sabuni dukani anapiga ile flying kiss kwa mwelekeo wa soap.

Ila shkamoo bado naona kama umwinyi vile. Nadhani kumsalimia mtu umelalaje au umeamkaje ipo bora zaidi ya kuwa chini ya miguu yake....
 
unanikumbusha wale wazee wauza nazi pale kariakoo ambao ukiwapigia mjambisho wa mdomo wanaruka au kujinaniliu wenyewe. Shehe umetutisha kwa kauli yako hiyo

hehehe jamaa huyo naona ana matatizo ya saikolojia vp tumsaidie au?
Naona yeye kichecheo ni shikamoo
 
Back
Top Bottom