Shikamo dada, shikamo mama zinanisaidia sana.

kuku dume

JF-Expert Member
Apr 22, 2012
414
62
Wakuu,
Nimekuwa nikikumbana na changamoto nyingi sana katikamaisha lakini kubwa ni wanawake kutaka niwe nao kimapenzi.
Nilifikiria nikaona njia ya pekee ya kuwaepuka ni kuwaheshimu. Siunajua ukimtazama mtu usoni unatambua interest zake? Sasa dawa yao kili nikistukia tu ni 'shikamo dada, shikamo mama'.
Wadada wamehamua kuja juu...wanadai nawadharau. Nashindwa kujua kimaadili ipi ni sawa. Kusalimia ama kunyuti?
Wengine wanasema ni wadogo zangu/tunalingana...sasa eti ikitokea akazaliwa mtoto kwenu anayelingana na mjukuu wako lakini ni mtoto wa wazazi wako haitoshi akiwa dada yako hata kama umepita na umri wa miaka 40++?
Mimi ntawasalimia...sidanganyiki.
 
unajua kazi ya 'kuku dume' hupanda wadogo mpaka wakubwa, wewe utakuwa kuku jike..vinginevyo badili hilo jina. huwezi jiita kidume wakati mkia matakoni.
 
Back
Top Bottom