princess enny JF-Expert Member May 27, 2012 1,038 379 Jul 28, 2012 #2 na huo mwili cjui kama atampata!!
MadameX JF-Expert Member Dec 27, 2009 7,792 3,848 Jul 28, 2012 #3 akimshika huyo atakuwa kakata karibia 1000 calories
Dotworld JF-Expert Member Aug 10, 2011 4,035 3,773 Jul 29, 2012 #4 Mbuzi Mzee eti mila za kwenu siku ya harusi lazima bwana na bibi harusi wakimbize na washike kuku ndio harusi inanoga
Mbuzi Mzee eti mila za kwenu siku ya harusi lazima bwana na bibi harusi wakimbize na washike kuku ndio harusi inanoga
Dotworld JF-Expert Member Aug 10, 2011 4,035 3,773 Jul 29, 2012 #5 Mbuzi Mzee eti ni kweli?! .. nasikia eti kukimbiza kuku kuna taiming yake! ... eti ukimbize kuku huku umeinama!
Mbuzi Mzee eti ni kweli?! .. nasikia eti kukimbiza kuku kuna taiming yake! ... eti ukimbize kuku huku umeinama!
Chimunguru JF-Expert Member May 3, 2009 10,678 4,350 Jul 29, 2012 #7 kitoweo noma mpaka usafe kidogo ndo ukifaudu
grafani11 JF-Expert Member May 24, 2011 15,442 5,807 Jul 29, 2012 #11 Dotworld said: Click to expand... Na hicho kimini cha kufa mtu akianguka itakuwaje jameeni.