Shiilingi ya Tanzania yachungulia kaburi

Oooohoooo, watanzania kwishney

Thamani ya shilingi yazidi kuporomoka dhidi ya US $.

Bei za vitu zitazidi kupanda bei

Kipato cha mtanzania kipo pale pale au kipato kinaweza kupungua.

Sasa Tanzania tumefika pabaya, haya ni matokeo ya kutowajibika na ufisadi

Mission town (kimjini mjini)




Watoto wa vigogo wachache wananeemeka wakati mamillioni ya watanzania wanataabika

Mkuu nakubaliana na wewe ila ungeweka convincing statistics ningeshukuru sana. Hebu jaribu ku- dig deep down kama msomi mkuu kwani tunahitaji sana wa TZ wa namna hiyo ili kuonyesha kwamba sasa to get away with cheap political economy theories.
 
Mpadmire ulishatafuta shamba (ekari nyingi) ukazikosa? hebu jaribu kutafuta mapori uone kama utayakosa!! sometimes tuache kulalamika tutafute hayo mashamba kama unayahitaji.. sometimes tuache kutupa lawama kwa serikali kwa kila kitu.,
 
Back
Top Bottom