Shigela: Chadema waangalie uongozi wa juu

Kongosho

JF-Expert Member
Mar 21, 2011
35,999
24,163
anasema CDM muangalie viongozi wenu kama wako responsible.

Na kaongelea kuangalia mfumo wa dini, ili siasa ziwe za amani, sijamwelewa hapa, msaada tafadhali.
 
anasema CDM muangalie viongozi wenu kama wako responsible.

Na kaongelea kuangalia mfumo wa dini, ili siasa ziwe za amani, sijamwelewa hapa, msaada tafadhali.

Huyu Mzee wa UVCCM Anafikiri tuko zama za akina Kingunge ha ha ha. Wazee wa UVCCM wanamuaibusha NAPE
 
Yaani CCM are out of touch. Hivi akiulizwa ni kwa nini Bilal alizindua Kampeni wakati wa Sensa atababaika. Ukimuuliza ni kwa nini Ruge anaungurumisha FIESTA atakisa jibu. Tukisema Serikali dhaifu iko Mikononi mwa akina Ruge watakataa? Yaani CCM wanashindwa hata kusoma Mudi ya Wenyenchi
 
Shegella lazima atumie akili zake,inakueje aseme ati kila mkutano wa chadema watu wanakufa,je chadema wanauwa au ni polisi wanauwa? Acha kutapatapa viongoz wa cdm wamekosa nn?! Tamko la kuuwa si ni tamko la viongoz wa ccm kwa MaRPC na MaODC waliowapa ulaji,shame on you shegella.
 
kubwa jinga la uvccm hamna kitu humo. cjawahi kumuona akitoa hoja ya maana kwa jamii.
 
ameongea huku anaona aibu!jee kama polisi wasingetumia nguvu kungetokea mauji?mikutano ya kidini na ccm huwa na mauji?
 
binafsi nimechoka kusikia neno serikali ya ccm .. hii demokrasia ni taabu kwelikweli .. tunahitaji mabadiliko kwa namna yeyote
 
Huyo ni Mjinga sana tena anatetea jambo la hovyo kabisa,hana tofauti na wale watangazaji clouds FM waliosema eti hakupaswa kuenda eneo la hatari!nimewadharau kabisa hao watangazaji wa clouds.
 
Sijui hata walimtoa wapi kilaza yule ndio maana Nape anawazunguka na wanaonekana wehu tu!si lazima kuchangia kila jambo angekaa kimya ingemsaidia sana
 
Anatapatapa, suala si uongozi wa cdm, anamumunya maneno na kuogopa kusema ni policcm. vita ipo syria, congo na sehemu kibao, ni nadra sana mwanahabari kuuwawa, hii ya hapa alaumiwe cdm au magamba?
 
anasema CDM muangalie viongozi wenu kama wako responsible.

Na kaongelea kuangalia mfumo wa dini, ili siasa ziwe za amani, sijamwelewa hapa, msaada tafadhali.

Mfano mzuri wa AKILI NDOGO KUONGOZA AKILI KUBWA NI MARTINI SHIGELLA NA NAPE wa CCM. Ninafahamu wapo wenye akili nzuri tu ktk chama hiki ila wanapingwa vikali na kusiginwa kama sisimizi nawashauri wenye akili wakimbilie CDM.
 
Nimemsikia kwenye ITV, kusema ukweli jamaa ni mweupe sana upstairs na angeficha upumbavu wake kwa kukaa kimya!, ni kwa kuzungumza ndio nimemfahamu ukilaza wake!.

Hoja yake amewataka viongozi wa Chadema wajitathmini bado wako wakifanya nini ili hali kumetokea vifo 4 kwenye mikutano ya Chadema?!, akimaanisha walipaswa kuwa wameshajiuzulu long time ago!.

Kwa kauli hii anamaanisha japo wanaofanya mauaji ni polisi, wanaosababisha mauaji hayo ni viongozi wa Chadema!. Kwa lugha rahisi, huyu juha wa UVCCM amejustfy hii Police brutality na kuutwika uongozi wa Chadema!.

Viongozi wa aina ni ni muhimu sana kwa sababu ndio wanaifanya kazi ya ukombozi wa pili wa kweli wa Mtanzania iwe rahisi zaidi!.
 
Nimemuona huyo kizee wa miaka 50 akiropoka huo utumbo.Huyu mzee hana hadhi ya kuwasemea vijana kwa sababu ni mzee.Makunyanzi yamemjaa usoni utadhani babu yangu wa miaka 80.Eti huyu kizee anajiita kijana..
 
Nimemsikia kwenye ITV, kusema ukweli jamaa ni mweupe sana upstairs na angeficha upumbavu wake kwa kukaa kimya!, ni kwa kuzungumza ndio nimemfahamu ukilaza wake!.

Hoja yake amewataka viongozi wa Chadema wajitathmini bado wako wakifanya nini ili hali kumetokea vifo 4 kwenye mikutano ya Chadema?!, akimaanisha walipaswa kuwa wameshajiuzulu long time ago!.

Kwa kauli hii anamaanisha japo wanaofanya mauaji ni polisi, wanaosababisha mauaji hayo ni viongozi wa Chadema!. Kwa lugha rahisi, huyu juha wa UVCCM amejustfy hii Police brutality na kuutwika uongozi wa Chadema!.

Viongozi wa aina ni ni muhimu sana kwa sababu ndio wanaifanya kazi ya ukombozi wa pili wa kweli wa Mtanzania iwe rahisi zaidi!.

Leo nakuunga mkono kwa kumwaga mapointi..
 
Back
Top Bottom