Shigela awataka polisi kuwaachia UVCCM jukumu la ulinzi dhidi ya CHADEMA

Katibu mkuu wa uvccm MARTIN SHIGELA, Amelitaka jeshi la polisi nchini kuwakabidhi uvccm jukumu la ulinzi. Akiongea na waandishi wa habari jana alisema wao kama umoja wa vijana ccm wamechoka na uvunjifu wa amani unaofanywa na chadema. Source magazeti ya leo.. My take: Hawa uvccm wanajiamini nn nao siku izi wanajeshi? Je hawaoni hata nguvu ya jeshi lao na mabomu ya machozi na maji yakuwasha ila wanazidiwa. Huyu shigela anaropoka kwa kutumia kifaa gani katika utashi wake?.

Very confusing!!!1 Hivi UVCCM ni licensed private security guards?
 
MARTIN SHIGELA ,kwanza unahitaji MAOMBI ,jambo la pili ,JITATHIMINI kabla ya kutoa kauli.Tatu IKANE NAFSI yako...
 
Katibu mkuu wa uvccm MARTIN SHIGELA, Amelitaka jeshi la polisi nchini kuwakabidhi uvccm jukumu la ulinzi. Akiongea na waandishi wa habari jana alisema wao kama umoja wa vijana ccm wamechoka na uvunjifu wa amani unaofanywa na chadema. Source magazeti ya leo.. My take: Hawa uvccm wanajiamini nn nao siku izi wanajeshi? Je hawaoni hata nguvu ya jeshi lao na mabomu ya machozi na maji yakuwasha ila wanazidiwa. Huyu shigela anaropoka kwa kutumia kifaa gani katika utashi wake?.

Ameanza kufikiria kimasaburi. Ucameron umeanza kufanya kazi kumbe!
 
Katibu mkuu wa uvccm MARTIN SHIGELA, Amelitaka jeshi la polisi nchini kuwakabidhi uvccm jukumu la ulinzi. Akiongea na waandishi wa habari jana alisema wao kama umoja wa vijana ccm wamechoka na uvunjifu wa amani unaofanywa na chadema. Source magazeti ya leo.. My take: Hawa uvccm wanajiamini nn nao siku izi wanajeshi? Je hawaoni hata nguvu ya jeshi lao na mabomu ya machozi na maji yakuwasha ila wanazidiwa. Huyu shigela anaropoka kwa kutumia kifaa gani katika utashi wake?.

yule jamaa atakuwa anatumia mmea, siyo bure.
 
Yule jamaa ni masaburi mwili mzima.

Katibu mkuu wa uvccm MARTIN SHIGELA, Amelitaka jeshi la polisi nchini kuwakabidhi uvccm jukumu la ulinzi. Akiongea na waandishi wa habari jana alisema wao kama umoja wa vijana ccm wamechoka na uvunjifu wa amani unaofanywa na chadema. Source magazeti ya leo.. My take: Hawa uvccm wanajiamini nn nao siku izi wanajeshi? Je hawaoni hata nguvu ya jeshi lao na mabomu ya machozi na maji yakuwasha ila wanazidiwa. Huyu shigela anaropoka kwa kutumia kifaa gani katika utashi wake?.

he using Masaburi device!!

Umeelewa?
 
Anataka kupambana na chadema kwani inchi ipo vitani ? UVCCM kama wanakubalika na wananchi na wenyewe nao si wafanye maandamano na mikutano ya siasa wawajibu chadema kisiasa ,wameona sasa hawana nguvu ya umma wanataka kuingia vitani loh!
 
Who is shigela mpaka apewe majukumu ya ulinzi wa nchi? Hivi CCM si ni chama tu sawa na UPDP, DP UDP nk! Mimi nilitegemea aombe jukumu la kuwashughulikia mafisadi ndani ya chama wanaotafuna nchi kwa style tofauti tofauti. CHADEMA wanaamsha hisia zilizokuwa zimelala kwa kugawa elimu ya uraia bure ili wanachi watambue haki zao! Shigela can fight agaisnt peoples power? Can he?
 
hata kama ccm ikiruhusiwa kulinda ulinzi watamlinda nani wakat nguvu ya umma ni kubwa wakipita watu 10 saba ni chadema hao 3 ni vyama vingine hawaoni hata picha?
 
Katibu mkuu wa uvccm MARTIN SHIGELA, Amelitaka jeshi la polisi nchini kuwakabidhi uvccm jukumu la ulinzi. Akiongea na waandishi wa habari jana alisema wao kama umoja wa vijana ccm wamechoka na uvunjifu wa amani unaofanywa na chadema. Source magazeti ya leo.. My take: Hawa uvccm wanajiamini nn nao siku izi wanajeshi? Je hawaoni hata nguvu ya jeshi lao na mabomu ya machozi na maji yakuwasha ila wanazidiwa. Huyu shigela anaropoka kwa kutumia kifaa gani katika utashi wake?.

Halafu chama gani kitawatumia vijana wake kuwadhibiti UVCCM? Huyu bwana haelewi utawala wa kufuata sheria na taratibu ukoje. Huko kutakuwa ni kujichukulia sheria mkononi. Kama wakamua kuwadhibiti Chadema kwa mapanga, Chadema nao watatafuta mapanga. Halafu tutegemee nini?
 
Anafikiria na masaburi .com au anaota sio lazima ulale ndio uote unaweza ukawa unatembea huku unaota kama huyu pimbi wa ccm

masaburi.com+macameroon.co.uvccm=shigela,,,halafu yule naye ni kijana wapi kama babu hivi
 
Zaidi ya 90% ya vijana wa tanzania ni chadema sasa yeye atawatumia kina kingunge na six kuwadhibiti cdm au!? Huyu jamaa masaburi yake yanawasha anataka wa kumkameruni.
 
Hii issue ni nzito sana, kwa kuongea hayo anamaanisha yafuatayo:
1. Kuwa anakiri kuwa jeshi la Polisi ni dhaifu na limeshindwa kazi.
2. Kuwa jeshi la Polisi linaingilia harakati za kisiasa za Chadema na wala hazina athari kama inavyo nadiwa na kuwa ni suala kuachiwa wao wapambane na CDM kwa hoja wala si kwa kutumia Polisi,nguvu na silaha kama ilivyo sasa.

My take:
wazo la Shigela ni zuri lakini ili tuwe na imani naye angeanza kwanza kupambana na mafia tulio nao ndani ya chama chetu kwani hao ndiyo hatari halisi kwa taifa si CDM.
 
Back
Top Bottom