Shigela awataka polisi kuwaachia UVCCM jukumu la ulinzi dhidi ya CHADEMA

RUMANYIKA

JF-Expert Member
Feb 2, 2011
315
74
Katibu mkuu wa uvccm MARTIN SHIGELA, Amelitaka jeshi la polisi nchini kuwakabidhi uvccm jukumu la ulinzi. Akiongea na waandishi wa habari jana alisema wao kama umoja wa vijana ccm wamechoka na uvunjifu wa amani unaofanywa na chadema. Source magazeti ya leo.. My take: Hawa uvccm wanajiamini nn nao siku izi wanajeshi? Je hawaoni hata nguvu ya jeshi lao na mabomu ya machozi na maji yakuwasha ila wanazidiwa. Huyu shigela anaropoka kwa kutumia kifaa gani katika utashi wake?.
 
Time will tell, ukizoe huu wenzio wanajua ule,kazi sana na pole kwa wale wasio sikia wala kuona na mwisho ole wao,wasio mjua Mungu yukoje.
 
Katibu mkuu wa uvccm MARTIN SHIGELA, Amelitaka jeshi la polisi nchini kuwakabidhi uvccm jukumu la ulinzi. Akiongea na waandishi wa habari jana alisema wao kama umoja wa vijana ccm wamechoka na uvunjifu wa amani unaofanywa na chadema. Source magazeti ya leo.. My take: Hawa uvccm wanajiamini nn nao siku izi wanajeshi? Je hawaoni hata nguvu ya jeshi lao na mabomu ya machozi na maji yakuwasha ila wanazidiwa. Huyu shigela anaropoka kwa kutumia kifaa gani katika utashi wake?.
Shigela naona akili huna ila unatumia siasa zaidi. Unajua vizuri kwamba mkiachiwa kazi hiyo mtakuwa mmemaliza nchi kwa kuwa hata humo ndani ya uvccm kuna watu wa chadema. Kwa hiyo usitumie ujinga kutoa maoni ambayo is not viable. Nadhani pale mlimani elimu ile tuliyopata ilikuwa ya kusaidia watu waelewe na siyo kutaka kusababisha mauaji. Vile vile sidhani kama chadema wanafanya vurugu ila ni wingu tu ya wananchi kutaka mabadiliko.
Kama mwenyekiti wetu wa ccm angefikiria kama wewe basi watu wengi wangeshauawa na polisi. Sisi vijana hatuko tayari kufanya kazi ya polisi.
 
Anafikiria na masaburi .com au anaota sio lazima ulale ndio uote unaweza ukawa unatembea huku unaota kama huyu pimbi wa ccm
 
Uvccm kuna watu 2 tu wenye akili nao ni Hussein Bashe na Benno Malisa.
 
Huyu Martina Shigela si ndiyo wale wale wanaopigiwa debe na Cameron? Unaona mkorogo ulivyokolea?

Mkuu na huyu jamaa anapaka macarlo rite na movate kama katibu mwenezi propaganda. Embu weka picha yake kama unayo mkuu.
 
Cheit umenena sahihi maana hata mimi nina kadi ya shigela lakini ukinikata damu yangu ni mabadiliko yaani I say no to CCM move. Kwa bahati huyu bwana namfahamu akiwa mkuu wa Wilaya ya Lindi si dhani kama ana busara zaidi ya kuwa mtu wa kufuata upepo na kuangalia mwelekeo wa wakubwa wa CCM pasipo kutafakari kwa kujitegemea. na kingine si kijana sijui kwa nini yeye hakijamkuta kilichomkuta Masauni umri wake unaapproach 40-?
 
DUH. anadhani bado ana zile AMRI HALALI ZA MKUU wa Wilaya. Hivi hajui kuwaCCM imebaki mashati ya kijani tu
 
Shigela kweli umechoka rudi usukumani ukacheze ngoma,hivi wewe unadhani mkiachiwa halafu ndo mtafanya nini,au tayari mnasilaha na ni jeshi lingine la serikali?hata hivyo ujinga wako unadhihirika pale ambapo hujui kwamba hata hao Chadema wana watu wenye taaluma zote za usalama na hata mapigano,kama alikuwa hamjui huko nako wana wanajeshi na watu kibao ambao wanajua karate,kichina china na judo na kutmia kila aina ya silaha unayoijua wewe,sasa kama unaona ni busara kuachiwa wewe na UVccm wakupeni muone,maana mnatuchosa sasa,inabidi tuwaambie kwa lugha yoyote,maana mnapoachiwa kuropoka hivyo watu wakawaangalia mnadhani mmeshaimiliki cnhi kwa hati miliki,subirini time will tell
 
Siasa zetu hazihitaji akili. Mdomo na tumbo tosha kabisa.
hapo alojizolea fungu la kutosha kabisa, japo aliongea utumbo!
 
DUH. anadhani bado ana zile AMRI HALALI ZA MKUU wa Wilaya. Hivi hajui kuwaCCM imebaki mashati ya kijani tu

Mie nadhani shigela angeweka watu wazi. Kama uvccm nao ni jeshi kivipi wanaweza kudhibiti wimbi la nguvu ya umma wao kama mashati ya kijani?
 
Back
Top Bottom