Shibuda waongeaji wazuri wa kisukuma wapo igunga - wewe wapi?

Nov 28, 2010
31
5
Shibuda unatafutwa uende Igunga kushindanisha kisukuma na magufuli bado haujarudi nje? Kumbuka wewe unamchango mkubwa kwetu licha ya tofauti kadha zinazojitokeza lakini bado tuna kuamini.
 
Shibuda ni GAMBA,yeye ni CCM damu,sijui kwanini CHADEMA wanamchelewesha,ni bora jimbo la Maswa lichukuliwe na Mgamba kuliko kuendelea na Shibuda,CHADEMA huu ni ushauri wa bure -muondoeni mara moja huyu mtu vinginevyo 2015 ata defect tena to CCM na atakuwa tayari anawajua ins and outs hivyo atatumiwa kudestroy chama chenu,he is a political prostitute and vagabond.
 
Dawa ya mwanamke mbea,mwache aongee na usimjibu chochote,kama hatakunywa sumu,basi atahama mtaa, Shibuda CHADEMA kaachwa kimya hadi atakapoona ngoma nzito na kujitoa mwenyewe kama Rostam,wanamaswa walimchagua kwa kuamini kabadilika kifikra, waache wajionee wenyewe umbea wake akichoka atahama mtaa.
 
Kwahiyo miaka 50 ya UHURU Igunga kuna watu hawajui kiswahili mpaka inabdi kampeni zikafanyike kisukuma au kinyamwezi? Hii Tanza ina NIA kweli?
 
Shibuda unatafutwa uende Igunga kushindanisha kisukuma na magufuli bado haujarudi nje? Kumbuka wewe unamchango mkubwa kwetu licha ya tofauti kadha zinazojitokeza lakini bado tuna kuamini.

Shibuda anastahili kufanya kampeni zanzibar na siyo usukumani!! Sina hakika kama anakifahamu kisukuma!!
 
Shibuda unatafutwa uende Igunga kushindanisha kisukuma na magufuli bado haujarudi nje? Kumbuka wewe unamchango mkubwa kwetu licha ya tofauti kadha zinazojitokeza lakini bado tuna kuamini.

Kwa Kiswahili chake cha mafumbo unadhani Wasukuma watamuelewa kweli?
 
Back
Top Bottom