Shibuda sasa amvaa Dk Slaa, adai kuwatumia BAVICHA

John Magare shibuda wala sikutalaji ungekuwa kibaraka nlikua nakuamini tangu ukiwa mbunge wa magamba sasa umekuja nkaona bora uje uongeze nguvu kumbe ni msaliti?
 
Katibu Mkuu anaposema "Mimi nisingependa kuhusishwa na suala la Shibuda kwani sijawahi kuzungumza chochote kumhusu yeye na kwamba, nina mambo mengi ya kuangalia na sio Shibuda,".

Hapo ndipo anapofanya tuamini kuwa yeye ndiye anaewatumia BAVICHA kama asemavyo Shibuda. Tena inaonesha anamtumia Heche.

Huyu Slaa, kama Katibu Mkuu haoni kuwa anaongelewa Mbunge wa chama chake na vijana (wasio na ukomavu wa kisiasa kama Shibuda) wa BAVICHA halafu anaongelea kama Shibuda si lolote si chochote kwenye chama?
 
Of course Shibuda si lolote wala chochote.
 
habari ingefafanua jinsi ya shibuda alivyoingia katika nec ya ccm kwani ninavyofahamu hata waandishi wa habari hawaruhusiwi ni kikao cha ndani

ilikuwa ni semina ya NEC ya CCM na si kikao cha NEC
 
Tumeshuhudia maneno makali ya majibizano kati ya BAVICHA na Mbunge Shibuda.

Leo kikao cha kwanza na muhimu cha Sekretatiari ya BAVICHA kinakaa. Mwenyekiti wa kikao hiki ni Katibu mkuu wa BAVICHA Deogratias Munishi.

Kati ya ngoma hii ya BAVICHA ipo migongano ya Mweneyekiti na Makamu wake (HECHE NA JULIANA)

Katibu mkuu ambae inasemekana ni mtu wa diplomasia anatarajiwa kuwa kati kati ya mabosi wake. Lakini Munishi huyu hatabiriki kwa sababu akiamua kuwa mtu wa violence anamudu kweli kweli kama wale mliosoma UDSM unamkumbuka vizuri.

Tunasubiri majibu ya kina Kumuhusu Shibuda leo na tunataka diplomasia ya Munishi iwekwe kando kwa sababu tumechoka kuwa na virusi ndani ya CDM.

Macho na Masikio yetu yapo Mahakamani kwenye kesi ya Mnyika lakini pia tunayaelekeza pale kinondoni makao makuu ya BAVICHA.​
 
Shibuda ameachwa ajinyonge mwenyewe , ndiyo mwisho wake umefika anatafuta kamba ya kujinyonga kwa nguvu zote
 
Ndugu Busara ni muhimu, ukilichukulia swala hili jujuu unaweza kujikuta unakosea, mimi nimekuja kujua kwamba Shibuda hana makosa na isitoshe ndivyo shibuda aqlivyo sio chadema tu bali hata huko alipotoka na ni lazima uongozi wa chadema waonyeshe ukomavu. kumfukuza shibuda ni udhaifu kwani utamfukuza mtu ambae ajavunja katiba ya chama lakini eti kwa kuhisi tu kwamba atakuwa pandikizi.

Jamani tukomae kisiasa kuna mambo mengi yakufanya sasa tuache tuanze kukimbizana na Shibuda hata kidogo si sawa. mimi nadhani huyu mtu aachwe na asinyimwe uhuru mwisho wa siku wananchi ndio watakaomhukumu na ndio watakaoihukumu chadema lazima tuwe watu makini tusipende kuhukumu watu kwa hisia na mkumbuke kuwa wakati mwingine waandishi habari wanataka kuuza magazeti na wengine wako kwenye payroll ya ccm kwa hiyo akisema shibuda kwa ndio wakati mzuri wa kupotosha ili kuibua maneno ambayo hayana faida
 
Tatizo hamtaki ukweli, shibuda si lolote kwenye chama, na hili limetokana na yeye kutaka kuwa hivyo kwani kauli zake ameshindwa kuzitoa mahali husika, na ameshindwa kuonyesha seriousness katika kukabiliana na matatizo yanayohusu watanzania waliowengi mfano msimamo wake wa posho.
kwa hiyo ni yeye mwenyewe ndio anakaa mbali na wananchi sasa unataka aonekanaje wakati yuko chama cha upinzani na isitoshe waliomchagua walimchagua wakiamini kuwa Chadema ndio chama mbadala cha kurekebisha mapungufu ya ccm lakini yeye yuko upinzani na mentality ya chama tawala. ndio maana nasema mwisho wa siku wananchi na wanachama wa chadema watamhukumu kwa sababu ya kura walizompa.

wala slaa ajakosea tena amekuwa frank zaidi kwa sababu kuna matatizo mengi hasa mchakato wa katiba mpya na elimu ya katiba kwa watanzania kwani ndio suluhisho la matatizo mengi, sasa kuyaacha haya na kujadili shibuda kasema nini ni kuonyesha upungufu mkubwa wa fikra.

isitoshe Mboe alishalizungumzia kupitia clouds fm, hawa waandishi wa habari wanataka kuuza magazeti tu, na ushauri wa bure kwa shibuda awe makini hasa na vyombo vya habari kwani vinamuua kisiasa wakati mwingine vinapotosha taarifa ili kutengeneza conflict iwe endelevu na kuuza magazeti.
 
kuendelea kujadili upuuzi wa SHIBUDA ni kumpandisha chati bure, aachwe aseme atakavyo na hata akitaka kugombea kuteuliwa kugombea urais, aachwe tu maana sidhani kama ataweza kupata uungwaji mkono ndani ya CDM. hivo kuliko kuonekana ananyimwa nafasi, aachwe na wakati ukifika agombee tuone atapata kura ngapi dhidi ya wengine watakaojitokeza ndani ya CDM.

vinginevyo, ni kuingia katika mtego wa CCM kichwa kichwa ambacho siku zote kinatumia watu aina ya shibuda kuleta vurugu
 
Of course Shibuda si lolote wala chochote.

So chochote lakini Mwenyekiti wako alienda clouds kumzungumzia?

Mwenyekiti na Naibu Mwenyekiti BAVICHAa wanamzungumzia? wewe hapa unamzungumzia, magazeti yanamzungumzia.

Ngoja aje kujibu kauli ya Slaa.
 
Mnaumia vichwa bure tu........kuwa rais wa tanzania shurti uwe na digiirii....huyu shibuda hana.....aachwe na ndoto zake za mchana
 
Si tuliambiwa suala la Shibuda limeundiwa kamati ya Prof Safari na litapatiwa ufumbuzi na kamati kuu? Hawa BAVICHA mbona wanataka kuwa kama unguided missile!
 
Dr Kaonyesha busara za hali ya juu,sasa nimeona logic ya waliokuwa wanasema Shibuda apuuzwe,kumbe yeye alitegemea ligi ya malumbanao ianze,sasa kupuuzwa naona kumemuuma maana malengo yake hayakutimia,endeleeni kumpuuza abwabwaje peke yake hadi ajione mpumbavu kwani hakuna hata mwenye imani na Shibuda kasoro CCM,kweli dont argue with a fool people might not see the difference.
 
Katibu Mkuu anaposema "Mimi nisingependa kuhusishwa na suala la Shibuda kwani sijawahi kuzungumza chochote kumhusu yeye na kwamba, nina mambo mengi ya kuangalia na sio Shibuda,".

Hapo ndipo anapofanya tuamini kuwa yeye ndiye anaewatumia BAVICHA kama asemavyo Shibuda. Tena inaonesha anamtumia Heche.

Huyu Slaa, kama Katibu Mkuu haoni kuwa anaongelewa Mbunge wa chama chake na vijana (wasio na ukomavu wa kisiasa kama Shibuda) wa BAVICHA halafu anaongelea kama Shibuda si lolote si chochote kwenye chama?

Dr Slaa hajasema sijalisikia jambo hilo na wala hajasema jambo hilo halijui, ila amesema jambo hilo hajishughulishi nalo ( mpaka muda huo alipoongea na gazeti) kwa sababu kama katibu mkuu wa Chama kikuu cha upinzani ana mambo mengi mazito ya kuyashughulikia yenye umuhimu zaidi kwa watz kuliko hilo la Shibuda. Mbona rahisi kuelewa? Au una lako jambo?

ccm wanajitahidi kumtumia huyu jamaa ili aweze kuigawa cdm iliyopo ni busara inatakiwa kutumika ili ashindwe kutimiza aliyotumwa!
 
Na aendelee kupuuzwa maana mtu akitumwa akuchokoze ili umpige ngumi, busara huwa ni kumpuuza hongera kamanda wetu Dr. Slaa. Atajirudi tu na kama kuna change amepewa na magamba basi imekula kwao mtego wao CDM waujua na haunasi yeyote: Shimo wametuchimbie sie wametumbukie wenyewe .........kama mwimbaji wa injili alivyonena
 
Unakwenda kwenye NEC ya CCM then unasema kuwa "hujaona chama bado mbadala wa CCM,then unaongeza kuwa CHADEMA hakiwezi shika dola;tena unachemka zaidi kusema unaomba JK wa CCM awe meneja wako ww Shibuda mgombea wa CHADEMA na sasa unaongeza kuwa viongozi wakuu CHADEMA wamewatuma BAVICHA"

Nashangaa zaidi unaposema"hujui kosa lako"!Sasa why uwanie U-Rais kwa kupitia CHADEMA chama ambacho mwenyewe umekiri kuwa HAKINA UWEZO WA KUCHUKUA DOLA?Unataka kucheza tu makida kwenye kampeni za mwaka 2015 kumsindikiza CCM?

Shibuda hivi unajua kuna wana mageuzi Arusha na Tarime NA KWINGINEKO walikufa kwa ajili ya matayarisho ya CHADEMA kuchukua dola?Hivi unajua WATU kadhaa wapo mahakamani kwa ajili ya kuitetea CHADEMA kwa ajili ya matayarisho ya kukamata dola yasiyoungwa mkono na CCM?

Maneno yako ndani ya kamati ya CCM uliyoyatoa kuipaka CHADEMA ni UHAINI!
 
Katibu Mkuu anaposema "Mimi nisingependa kuhusishwa na suala la Shibuda kwani sijawahi kuzungumza chochote kumhusu yeye na kwamba, nina mambo mengi ya kuangalia na sio Shibuda,".

Hapo ndipo anapofanya tuamini kuwa yeye ndiye anaewatumia BAVICHA kama asemavyo Shibuda. Tena inaonesha anamtumia Heche.

Huyu Slaa, kama Katibu Mkuu haoni kuwa anaongelewa Mbunge wa chama chake na vijana (wasio na ukomavu wa kisiasa kama Shibuda) wa BAVICHA halafu anaongelea kama Shibuda si lolote si chochote kwenye chama?

Kazi ya Katibu Mkuu ni kukemea Raisi Kikwete alivyomaliza billioni 6.5 US$ alizoacha Raisi Mkapa kwenye reserve yetu kwa safari za kuenda kumbebea ulaya
Deni la Taifa kufikia trilioni 16 katika kipindi cha miaka mitano tuu
trillioni 50 kutumika kwa magari ya serikali
bilioni 300 kuliwa na watendaji wa serikali
asilimia 90 ya watoto wa sekondari kufeli
asilimia 75 wanawake kuzalia kwa wanganga wa kienyeji
asilimia 80 ya fedha za mradi wa maji kuliwa na mawaziri
pato la taifa kushuka chini
 
Back
Top Bottom