Shibuda na Selelii waimbe sasa wimbo wa mshike ndege tunduni

Kalunguine

JF-Expert Member
Jul 27, 2010
2,543
134
Kama kuna wanasiasa wanaokenua na meno yote 42 yanaonekana ni Shibuda na Selelii ambao wamejikomboa kwa kukimbia kutoka CCM.

Je wanaujua wimbo wa Mshike, mshike ndege tunduni tuliowajanja tumekimbia x2.
Shibuda na Selelii wamekuwa ndege wajanja.

thumbnail.aspx
thumbnail.aspx
 
ni mwanachama mfu bado, sijasikia kama amehama, otherwise vyombo vya habari vyenye akili km mwananchi, raia mwema, tanzania daima,......vingeripoti ishu sensitive kama hiyo.
 
Sijamsikia sasa naona yuko kimya akiangalia upepo wa uchaguzi tusubiri uvhaguzi uiishe labda ataibuka
 
Nachojua mimi ni kuwa Selelii ni mwanachama hai wa CCM!!!Mtoa habari toa ufafanuzi wa kutosha!!!
 
Kuhusu Selelii ni uzushi!
Mtoa habari hajui nini anaongea! Hii habari ipelekwe kwenye jokes au udaku!
 
Bashe alichofanyiwa ni Mungu mwenyewe atamlipia, JK amuogope Muumba wake, sio haki kitendo alichomfanyia Bashe:nono:
 
Back
Top Bottom